Ikiwa leo ni sikukuu ya MASHOTO duniani, tukutane hapa wanao tumia kushoto!

SEGUZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
280
196
Ikiwa leo tarehe 13/08/2017 ni siku ya watumia mkono wa kushoto duniani, hebu wana JF tunaotumia mashoto tujitambulishe hapa na tuwalete watu mashuhuri ambaye nao ni mashoto.
kwa upande wangu ni Mimi wa kwanza
1-rais wa kenya Uhuru Kenyatta
2- waziri mkuu wa Esrael Benyamin Netanyahu
46ae6a8201076f9ea406229947a297ac.jpg

3- alietoa rais wa MAREKANI Barack Obama
1b4f2be1a14721ca282c36cc62e4de0d.jpg

4-msanii Anjelina Jolie
5-msanii Justin Bieber
6- Lady Gaga
7- Eminem
8- na hawa wacheza Tenis mashuhuri
0a738269804cd0b0301f31453fd91ab3.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapy mm maleft..... Kina ticha alikuwa ananichapa Sasa akianza kukagua ninashika kalamu alafu napretend nafikiria. Kwa umakini..... Ila kunadogo alinichokoza sikuhiyo nilikuwa na hasira Sasa wakati tunapigana akujua kama ninatumia mashoto akaniachia kidevu nilivuta ngumi moja nikamtemesha damu.... Basi kuanzia siku hile nikawa mashoto naogopeka wenzangu wakawa wanasema ngumi YA kushoto inashabaha na nguvu
 
Acha nifurahie mie! Wapi Jack Daniels?

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Mimi ni MASHOTO, nilivokua mdogo nilikua natumua mkono wa kushoto kula wazazi walikua wakinikataza na kunipiga, kwa hivyo ili nitambue mkono wangu wakulia ni upi, huo nilikua nafungwa alama ya kamba mkono wa kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom