DAR: Tanesco kukata umeme Kinondoni na Ilala kwa siku 2 mfululizo

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Tanesco imetoa taarifa ya katizo la umeme katika mkoa wa Kinondoni Jumapili ya leo ambapo maeneo zaidi ya 50 huenda yakakosa umeme kwa muda wa takribani masaa 7.

tanesco.jpg


Aidha, Tanesco imewajulisha pia wakazi wa viunga vya Ilala kwamba Jumatatu ya kesho baadhi ya maeneo yatakosa umeme kutokana na marekebisho katika kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ilala/Kurasini jijini Dar.

518cebf1e3c4a616389c44d7654bddde.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom