qaxemvule
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 231
- 120
Kwani kwenye Biblia na Quran inasema kuwa Adamu na Hawa waliambiwa wale matunda yote yaliokuwapo katika bustani ya Edeni lakini ule mti wa katika matunda yake wasile.
Je, huo mti unaitwaje na hapa duniani upo na kama upo upo nchi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, huo mti unaitwaje na hapa duniani upo na kama upo upo nchi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app