Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni muda mfupi sana toka nimehamia huu mtaa, ila nimeshapachoka tayari,,, nyumba ya pili toka hapa ninapokaa kuna studio ya kurekodia muziki huu wa bongo fleva, sasa hapa kuna vijana masaa 24 wapo...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Yaliyonikuta mie jaman sina ya kusemea, napenda niwajulishe na rafk zangu mtambue hasa nyie mtakaokuja kufanya kazi iringa mjini. Ni miezi takribani 7 hivi tangu nimepata kazi kwenye taasisi moja...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Tawi la Tabora Marick Mbega amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya kuwadhalilisha wanafunzi wa Shule...
13 Reactions
151 Replies
28K Views
Chanzo cha moto hakijajulikana lakini inasemekana ni hitilafu ya umeme. Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
0 Reactions
130 Replies
19K Views
Ubongo wako 80% ni maji [emoji12] my take Nadhani huku kwetu Afrika itakuwa 90% Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Nyumba zaidi ya 60 zimeezuliwa mapaa na nyingine kadhaa kuharibiwa vibaya baada ya mvua iliyoambatana na upepo kunyesha wilayani Bariadi. Chanzo: RadioOne
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Watoto wa kwanza kuzaliwa huwa na akili zaidi kuliko wadogo zao. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Kama mjuavyo Minaki Secondary ni chama kubwa. Wamepita viongozi wakubwa wengi sana. Minaki imejengwa na Wajerumani enzi hizo wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani. Minaki Secondary ni shule ya zamani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujuZwa tofauti au ufanano wa hivyo vitu nilivyovitaja. Hasa katika: muundo Usajili Kisheria Uanzishwaji wake Na utendaji wake kiujumla. Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Kwa muda wa wiki moja kupitia kurasa za mitandao ya kijamii (hasa facebook),EA radio na tv wamekua wakimuandika negatively Lipumba,kuliko vyombi vingine vya habari. Pamoja na kwamba ndio Lipumba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Abiria wanasafiri gizani. Wakata tiketi wanashindwa KUFANYA kazi yao vizuri. Nimepanda banana hadi mombasa. Nilikuwa na ELFU kumi nikashindwa KUTOA gizani. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
2K Views
WANAFUNZI wawili wa Shule ya msingi Chikomo katika kata ya Mbesa Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na Kifusi wakati wakichimba mchanga kwa ajili ya ujenzi wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pale unapogundua udhaifu wako ni nini basi badilisha udhaifu wako uwe nguvu yako. Kitu kinachohitaji ni kujisahamehe tu nafsi yako na kutengeneza mazingira ambayo yataruhusu udhaifu wako uwe na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ndg zanguni wana jf naomba mnisaidie kushare maana wilaya yng ina mapato sana lakini mtu akifika mafinga mjini ni pachafu jamani daah hadi kero. Nataka niulize kwa ndg zanguni wa mafinga mjini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu, Tafadhali naomba msaada wa melekezo jinsi ya kutengeneza na kuinterpret reference number ktk barua za kiofisi. Yaani kama ndio naandika barua kwa mara ya kwanza halaf nahtaj kuweka...
0 Reactions
13 Replies
15K Views
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (Katikati) akiwashuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Le Van Dai kwa Pamoja na Mkurugenzi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (USCAF)...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tufahamiane! Na Usifosi tufanane!
0 Reactions
7 Replies
916 Views
Umewadia muda wa serikali kupitia wizara ya afya ( MHCGGEC) kuanzisha taasisi ya kukagua na kudhibiti barber shop (saluni za kunyoa nywele na ndevu) ili kuweza kuepusha jamii na wananchi wake, na...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Tanzania imetajwa kuwa nchi pekee Afrika Mashariki na kati yenye uwezo mkubwa wa kuzalisha mazao ya kilimo ya aina nyingi pamoja na mifugo ukilinganisha na nchi nyingine za ukanda huo lakini sekta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi limewazuia Wafanyabiashara wa Soko la SIDO wasijenge upya vibanda na maduka yao yalivyoteketea kwa moto Wafanyabiashara wa soko jipya lililoungua, wadai kuwa serikali ndiyo...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom