Serikali ianzishe operation Maalum ya kukusanya silaha haramu kila Mkoa na wilaya..

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Kumekuwa na mauaji,uporaji na hata utekaji kwa kutumia silaha.

Nadhani ni vizuri kila Mkoa na wilaya kupitia ofisi za Serikali ikaanzisha operation Maalum ya kukusanya silaha zinamilikiwa kinyume na sheria.

Hii itasadia matukio ya kutumia silaha kupungua na hata kuisha kabisa.

Mrema alipokuwa Waziri wa mambo ya ndani alifanya zoezi hilo na lilifanikiwa sana.

Waziri Mwigulu Nchemba hebu fikiria operation kama hii.
 
Nakumbuka kupitia UNDP mikoa ya Kigoma na Kagera waliwahi kufanya operation hiyo kutokana na ujio wa wakimbizi na silaha nyingi sana zilipatikana na kuchomwa moto hadharani
 
Back
Top Bottom