Wazoefu wa chuo msaada wenu tafadhali

Wazoefu wa chuo msaada wenu tafadhali

kali popote

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2017
Posts
394
Reaction score
282
Habari za shughuli wandugu naomba kueleweshwa kwa habari ya carrying subject huwa ni mara ngapi kulirudia hilo somo au hakuna limit? na je kuna hasara yeyote unayoipata zaidi ya ile ya kupoteza muda tu na kuwa na mzigo nyumba wa hilo somo? pia mnisaidie kwa mwaka wa pili wa degree unakuaje mtu ukapata sup ukashindwa chomoa ukaamua ungoje umalize chuo ndo ulirudie hilo somo je zipo athari zozote?
Naombeni msaada kwa wenye yenye uelewa juu ya hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara 5 ukishindwa ni automatic discont...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifeli carry mara mbili una disco, kama uko chuo cha kata, nafikiri ondoa shaka uliyoyazungumza hapo yote yanawezekana.
 
Back
Top Bottom