Nimeona michuziblog habari Mbunge wa Mkuranga Mhe.Abdallah ulega anafanya uzinduzi wa jengo lakini aliyeandikwa sio yeye nimekwazika sana kwanini watu tunaowachagua wanakuwa kiitifaki ni bure!Hii...
Naomba kuweka wazi kwamba mimi ni Mkazi wa Tandika Mwembe Yanga lakini nina nyumba kwenye kijiji hiki cha Keko Machungwa , ni nyumba yenye wapangaji wawili.
Kwa miaka yote tangu nipate akili...
Adhabu ya kifo hutekelezwa kwa moja ya njia zifuatazo:-
1) Kunyonga kwa kamba (hanging).
2) Kudunga sindano ya sumu (lethal injection).
3) Kutumia umeme (electrocution).
4) Kuua kwa risasi...
SWILA NA BUNDI.
Na.
Uncle Kaso
__________
Nakumbuka vizuri siku nikiwa porini, mara ya kwanza nilipokutana na swila, nikajikuta nipo kwenye mgongo wa ng'ombe pasi na kujua nimepandaje, na viatu...
Habari za mda huu wadau
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kumekuwa ni hii tabia ya mwenge kila unapopita sehemu bas watumishi wa uma wanalazimishwa kuchangia mwenge pasi na wao kupenda. Na...
Kila Mtanzania aliguswa na msiba mkubwa uliotokea, Mungu si athumani wakajitokeza wasamaria wema waliokua njiani wakaamua kujitwika jukumu hilo la kuhakikisha wanapata matibabu ya hali ya juu nje...
Hello JF,
Kuna kampuni, zinakuja kwa kasi za kuchimba mashimo ya maji taka, ambayo si makubwa na hayajai.
Wanaangalia udongo wa jingo lako lilipo and then wanachimba, kutokana na aina ya udongo...
Hakuna sehemu yenye utajiri TZ hii ukiondoa Makaburini kama JF, hapa ndiyo mawazo yanapozikwa, fikiria kama kila wazo linalowekwa hapa lingeachwa lisomeke na wote bila ya kufutwa, kuunganishwa au...
Jamani wadau nawashukuru sana hasa wafanyakazi mlionitumia details za Ufisadi na Ujanja Ujanja wa hawa Darasa la Saba waliokuwa wakiendesha manispaa kama gari mbovu. Nawashukuru sana kwa sababu...
Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Bi Julieth Binyura, amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri wilaya ya Sumbawanga,achunguze tukio la mtumishi mmoja wa kituo cha afya cha Laela, la...
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), Ofisi ya Kanda ya Ziwa, imekifungia kwa muda kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa cha Kabanga Springs kilichoko Kamachumu, Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Chakechake, Sospeter Rajabu (42), kwa kosa la kumpaka kinyesi cha mbuzi kwenye majeraha yaliyotokana kuungua moto mtoto wake, Neema...
SERIKALI imezifungia shule binafsi 28 za msingi na awali, kwa kukosa sifa mbalimbali, ikiwamo uchakavu wa miundombinu ya majengo na vyoo, huku nyingine zaidi ya 100 zikiendelea kufanyiwa ukaguzi...
Pangani. Hofu imetanda kwa wakazi wa Wilaya ya Pangani mkoani Tanga baada ya mwili wa mtu mmoja uliovunjwa mikono kufunikwa na mifuko ya plastiki usoni na kufungwa kuokotwa Bahari ya Hindi karibu...
SERIKALI ya Mkoa wa Kaskazini Unguja inakabiliwa na kasi ya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsi ikiwemo matukio ya ubakaji na mimba kwa wanafunzi.
Hayo yalisemwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini...
Huwa nashangaa sana na kujiuliza hivi media ziko upande gani? Maana utakuta media baadhi zinapindisha habari kuwafurahisha wafuasi wa Chama fulani, na ajabu zaidi ni pale ninapoangalia baadhi...