JF ndiyo sehemu tajiri TZ sawa na Makaburini!

JF ndiyo sehemu tajiri TZ sawa na Makaburini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Hakuna sehemu yenye utajiri TZ hii ukiondoa Makaburini kama JF, hapa ndiyo mawazo yanapozikwa, fikiria kama kila wazo linalowekwa hapa lingeachwa lisomeke na wote bila ya kufutwa, kuunganishwa au kupigwa ban, jamii ingetajirika kwa kiasi gani?
 
pole mkuu,JF bwana ,kuna wakati unashikwa na hasira then unasusa,ukipona kidonda unarudi tena hewani,😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom