abdalah Kelenge
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 266
- 203
Huwa nashangaa sana na kujiuliza hivi media ziko upande gani? Maana utakuta media baadhi zinapindisha habari kuwafurahisha wafuasi wa Chama fulani, na ajabu zaidi ni pale ninapoangalia baadhi vyombo vya habari kuingilia harakati za kisiasa kama itakuwa hivyo je wanaupokea Ujumbe kutoka katika hizi media wataamini kipi na kushika lipi? Kama ni sharia ya uandishi wa habari zilizochanganywa mchele na mchanga haitawafaidi kitu wasikilizaji tofauti na kuchochea tu, Mfano juzi juzi nimesoma kichwa cha habari cha gazeti fulani NANUKUU"GWAJIMA ANUNUA NDEGE YA KISASA KULIKO ZILE ZA SERIKALI?
Nafikiriga sana juu ya uandishi wa namna hii unaleta chuki binafsi kati ya raia na viongozi, pia habari za mwamba ngoma huvutia kwake ndo zinapofusha zaidi.
Sijui nini kifanyike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiriga sana juu ya uandishi wa namna hii unaleta chuki binafsi kati ya raia na viongozi, pia habari za mwamba ngoma huvutia kwake ndo zinapofusha zaidi.
Sijui nini kifanyike?
Sent using Jamii Forums mobile app