Michango ya mwenge kwa watumishi wa umma

Michango ya mwenge kwa watumishi wa umma

Natafuta kiki

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
914
Reaction score
1,302
Habari za mda huu wadau
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kumekuwa ni hii tabia ya mwenge kila unapopita sehemu bas watumishi wa uma wanalazimishwa kuchangia mwenge pasi na wao kupenda. Na usipotoa unaonekana wew ni mtovu wa nidhamu na kupewa vitisho kuwa utafukuzwa kazi au kusimamishiwa mshahara.
Kwa kweli hii tabia imekua kero kubwa kwa watumishi wa uma kulazimishwa na kupewa vitisho kwa ajili ya mwenge.
Wahusika nimeuleta ujumbe huu kwenu kuwa kwa kweli mnatukera sana watumishi wa uma mwenge kaufungieni makumbusho tumewachoka


Cc serikali ya JMT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Unatafuta Kick kwa Pikipiki, mtumishi gani wa Umma wewe? Hujui malalamiko yanawasilishwa wapi? Utakuwa na cheti feki siyo bure wewe. Msomi anayejitambua hawezi kua muoga, kama kweli wewe ni msomi nenda kwa CEO wako mwambie ulichoandika hapa na siyo kupublish kwenye social media utakuja kupoteza ugali wako kwa kupenda kick zisizo na maana.
 
Back
Top Bottom