Adhabu ya kifo hutekelezwa kwa moja ya njia zifuatazo:-
1) Kunyonga kwa kamba (hanging).
2) Kudunga sindano ya sumu (lethal injection).
3) Kutumia umeme (electrocution).
4) Kuua kwa risasi (firing squad).
Tukiacha ukatili wa adhabu yenyewe, naona kuna ukatili zaidi kwa mujibu wa njia inayotumika.
Njia kama kunyonga kwa kamba na umeme naona ni njia katili zaidi maana zinampitisha marehemu katika mateso makubwa kwanza japo kwa muda mfupi kabla ya kifo chenyewe!
Nini maoni yako wewe?