Kigoma Ujiji tusimame na kukemea uovu ndani ya manispaa yetu

Filimbi Haki

Member
Jul 22, 2017
34
15
Jamani wadau nawashukuru sana hasa wafanyakazi mlionitumia details za Ufisadi na Ujanja Ujanja wa hawa Darasa la Saba waliokuwa wakiendesha manispaa kama gari mbovu. Nawashukuru sana kwa sababu taarifa nyingi na za uhakika kama taasisi ya Filimbi Haki tumeshazipata na kuipeleka sehemu inakohusika na inafanyiwa kazi..

Tunashukuru pia kwa kuonesha majanga ya uonevu yaliokuwa yakifanywa na hawa darasa la saba ambao hata Primary Education yao pia ni tatizo kweli...nasubiri kupata habari toka kwenu hasa kuhusu manyanyaso ya watumishi sisi tuongee kwa niaba yenu..

NYINYI OGOPENI, SISI TUTAWAWAKILISHA KUFIKISHA KILIO CHENU..nimepata mails nyingi toka Kigoma.Ahsante..KUMBE WENGI MNA MAJANGA LAKINI WAOGA..UOGA NI DHAMBI KUBWA NA DHULUMA KUBWA PIA..SIMAMA KEMEA UOVU...ISAIDIE SERIKALI YAKO KUKUBORESHEA MAISHA YAKO KWA UJUMLA!
 
Naona mkuu umeanzisha vita na waajiri wako wa zamani, uliwahi kusema wewe umeondolewa katika utumishi kwa kuwa ulikuwa na vyeti fake, pambana na hali yako usiendeleze tabia za unaha mkuu, utabarikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani tusiwadharau walioishia darasa la saba kwasababu hilo kundi ni kubwa sana Tanzania nadhani ni kama 65% ya wanainchi wote.
 
sasa mbona hata wewe ni muoga unatumia fake ID.......weka details zako ili uje upimwe mkojo:(:(:(:(
 
Naona mkuu umeanzisha vita na waajiri wako wa zamani, uliwahi kusema wewe umeondolewa katika utumishi kwa kuwa ulikuwa na vyeti fake, pambana na hali yako usiendeleze tabia za unaha mkuu, utabarikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyabutoro hio niliiweka hapa kwa kuletewa na kundi la waliofurushwa.Mimi sipo serikalini kiongozi..ni mjasiriamali na wewe unanijua kwa sura na nimeshafika eneo lako la kazi several times..TOSHEKA NA HILI...WIZI WA KODI NA MATUMIZI MABAYA YA PESA ZA UMMA TUNAYAKATAA!
 
Nadhani tusiwadharau walioishia darasa la saba kwasababu hilo kundi ni kubwa sana Tanzania nadhani ni kama 65% ya wanainchi wote.
TRAMADOL(Dawa nzuri sana hii) ..hatuwadharau bali WANAPOJIPA UKUBWA USIOSTAHILI TUNAWAPA ZA USO..Huyu mganga ameshawahi kuwatukana wahudumu wa afya(Medical attendants) kwamba hawajasoma hata kidogo ndio maana wanafagia...JIULIZE YEYE LEO KUKIRI NI DARASA LA SABA UNADHANI NI SAHIHII? Huyu Muuguzi mkuu(mkuu wa wauguzi ambaye ni standard seven) AMESHATUMIA CHETI FEKI CHA FORM FOUR KUENDEA CHUO KIKUU TENA AKITUMIA PESA YA SERIKALI..WEWE UNAONA SAWA? JAMANI MBONA KAMA MNAJITOA UFAHAMU NYIE? HATARI KWELI HII! NDIO UNARUHUSU HUYU ACHOME MWANAO SINDANO NA ATOE USHAURI NASAHA ILHALI AMESHINDWA TU KUJISOMEA NA KUPATA WALAU KIJICHETI CHA FORM FOUR? YANI HATA D MBILI KWA MIAKA MMINE HANA..YANI IKIWA D NI ALAMA 21 NA AMESHINDWA UNAMUITAJE DOCTOR HUYU? KAMA HAWA NDIO MADOCTOR MNAOTAKA NI HERI KUTIBIWA NA WALE WAZEE WETU WENYE BUSARA TU..
 
Nadhani hujanielewa kabisa.....Nchi hii wengi wa watanzania ni darasa la saba na mifumo ya zamani tulizalisha wataalam kutoka darasa la saba...Walimu wa UPE,Polisi,Wauguzi,Jwtz,Wahasibu,RMA,medreva wote Karibu wa Serikali n.k na walifanya kazi vizuri tu.Hii level tusiibeze kisa tu leo Kuna vyuo vikuu vingii hilo ndiyo nalipinga.

Hata kama elimu yao ni ndogo walikini walifanya kazi vizuri tu.

Lazima tuwe na heshima kwa kila mtu kwa level ya elimu aliyofikia.

Nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi kata yetu yenye shule Tano utakuta watoto wanaokwenda sekondari hawazi watano na wilaya yetu ilikuwa na sekondari mbili tu miaka hiyo namshukuru Mungu tu baadhi yetu tulifaulu shule ya msingi ila tuliowaacha ni wengi sana miaka hiyo na wapo mpaka leo.
 
True..Ahsante.Lakini serikali ilisitisha kuajiri darasa la saba tangu 2004...waliobaki waliachwa wastaafu..UPO SAHIHI KABISA.ELIMU ZAMANI ILIKUWA CHANGAMOTO.KABISA HATUWADHARAU NA TUNAWATHAMINI SANA.LAKINI KWENYE AFYA KUNA MPANGO MAALUMU ULIANDALIWA NA WARAKA UKATOKA KUWATAKA WAKASOME WALIOKUWA KATIKA AJIRA BY 2004.SASA HEKAHEKA IKAANZIA HAPO.KWA TAARIFA YAKO SOMBASOMBA HII YA VYETI KATIKA AFYA WALIOONDOKA ASILIMIA 95 NI NURSES..KWA SABABU WALIBWETEKA SANA NA WALIKUWA TU WAKIWATEGEMEA MADAKTARI KUFANYA KAZI,,NA HATA HAWA WEZI WETU WAWILI WALIPEWA NAFASI KUJIENDELEZA..WAKAONA CHA KUFANYA PEKEE NI KUFOJI..MATOKEO YAKE NI HAYA.AHSANTE KWA ANGALIZO LAKO
 
OK nimekuelewa na ni kweli kuhusu suala ajira kusitishwa 2004 kwa darasa la saba na wao kutakiwa kujiendeleza na wengi hawa kufanya hivyo.Na matapeli wa vyeti wakawatapeli wengi wao kwa kuwauzia vyeti fake
 
Tatizo Kigoma wanaroga sana aisee.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
True..Ahsante.Lakini serikali ilisitisha kuajiri darasa la saba tangu 2004...waliobaki waliachwa wastaafu..UPO SAHIHI KABISA.ELIMU ZAMANI ILIKUWA CHANGAMOTO.KABISA HATUWADHARAU NA TUNAWATHAMINI SANA.LAKINI KWENYE AFYA KUNA MPANGO MAALUMU ULIANDALIWA NA WARAKA UKATOKA KUWATAKA WAKASOME WALIOKUWA KATIKA AJIRA BY 2004.SASA HEKAHEKA IKAANZIA HAPO.KWA TAARIFA YAKO SOMBASOMBA HII YA VYETI KATIKA AFYA WALIOONDOKA ASILIMIA 95 NI NURSES..KWA SABABU WALIBWETEKA SANA NA WALIKUWA TU WAKIWATEGEMEA MADAKTARI KUFANYA KAZI,,NA HATA HAWA WEZI WETU WAWILI WALIPEWA NAFASI KUJIENDELEZA..WAKAONA CHA KUFANYA PEKEE NI KUFOJI..MATOKEO YAKE NI HAYA.AHSANTE KWA ANGALIZO LAKO
Reading all your threads indicates that your level of either education or understanding or may be how to present your issues is a problem!
First;you said "alikua mfagizi ofisi" , hopefully you real have evidence
Second; are you a group of people? I don't understand you saying you bought together"vyet" then you are " mjasiriamali" then you are not in the government however your statements clearly shows that you are or were working in the government!! Sometimes "Taasisi"...Hapo sikuelewi are you representing a group of people?
How to bring development or make your voice to be heard ; make yourself mkweli kwanza and uwe na hoja!
Unataka Kigoma tuendelee au kitu gani mahsusi unachohitaji maana ukisoma post zakoits more personal
No wonder Most people are commenting Majungu na kwa akili za namna hii kigoma itabaki nyuma na sikuzote kudharauliwa!
 
Back
Top Bottom