Do we live in the inside or outside the earth?

Do we live in the inside or outside the earth?

Me nadhani "outside"..........ni mawazo yangu lakini............
 
Kwa kweli mimi siju, bado ni mgeni, kwani mlango wa kuingilia uko wapi?
 
Dunia inaundwa na
1)viumbe hai
2)hewa( 'atmosphere')
3)maji
4)ardhi.

Sisi tunaunda dunia. Kwa vile outer part ya dunia ni atmosphere wawezasema tuko kwa ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom