Riwaya ya kufa na kupona ipo mitaani

Riwaya ya kufa na kupona ipo mitaani

zegamba180

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
820
Reaction score
544
Wapenzi wa riwaya za gwiji wa riwaya nchini za kipelelezi Marehemu Musiba, riwaya yake kali imetoka inayoitwa kufa na kupona. Nenda kariako, Posta, Mnazi mmoja kwa wauza magazeti na vitabu utaipata.
Riwaya nyingine za Marehemu Musiba zilizopo mtaani ni:
1.Hofu
2.Kikosi cha kisasai
3.Njama
4.Hujuma

Bei za kila riwaya ni sh 10,000
 
Back
Top Bottom