chankele kigoma
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 199
- 121
KATI YA KISWAHILI NA KIINGEREZA
Naomba kufafanuniliwa kwasabu kila nikijiuliza sipati jibu
Kunabaadhi ya zekta ukiingia utamuta kila fomu imeandikwa kiingereza yani hamuna ha sente ya miswahili
Waheshimiwa ambao ndo kioo chetu wakiwa majukwani kuwahutubia wananchi unakuta katika maongezi yote kiingereza ndo kinatawala
Kinachoniacha hoi sasa ukimwambia aongee kiingereza bila kuchanganya utakuta anajikanyaga mala kujing'ata ng'ata
Kwakweli nabaki kinywa wazi au ukio gea bila kuchanganya kiingereza huwezi eleweka? Mbona unao wahutubia 90% kiingereza hakipandi