Soko likiungua Mbeya, ndege zinaanguka

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,094
0
naona kila ikitokea soko kuungua ajali ya ndege inafuatia.
hii ni mara ya pili kwa ajali ya ndege kutokea mkoani mbeya ambapo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,139
2,000
Du watu ni hodari wa kuunganisha dots kama sheikh Yahya hussein vile.
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,531
2,000
nadhani moshi wa kuungua soko unakuwa unawachangana marubani wanapokuwa angani
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,213
2,000
naona kila ikitokea soko kuungua ajali ya ndege inafuatia.
hii ni mara ya pili kwa ajali ya ndege kutokea mkoani mbeya ambapo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.
Weka sawa habari broda..
Ungesema soko lipi limeungua, na ndege ipi imeanguka!

Kwa habari nilizopata ni kwamba ndege ndogo aina ya c206 (6seter) ilianguka jana kwenye eneo la mashamba ya shirika la Kilimo UYOLE.

nDEGE HIYO ILIKUWA IMEENDA KUMCHUKUA MGONJWA ILI KUM'RUSH Dar kwa matibabu, lakini bahati mbaya ilipata hitilafu mara baada ya kupaa, ikaanguka huku aliyekuwa mgonjwa akipoteza maisha palepale, na watu wengine wawili kujeruhiwa,mmojawapo akiwa ni rubani.

Kwa bahari nzuri ndege hiyo haikuwaka moto.
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,139
2,000
Mi nadhani jamaa alitaka kusema kuwa likitokea tukio la soko kuungua, baada ya siku chache inatokea ajali ya ndege
 

LUSAJO L.M.

Verified Member
Aug 21, 2007
257
225
Well na ni juzi tu imetokea ajali ya ndege maeneo ya Uyole na leo tunasikia soko la sido linawaka moja. Nafikiria.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom