Nimefanya utafiti wa ubora wa mabati Tanzania, nimegundua ubora ni uleule kwenye viwanda vyote Tanzania, wanachotofautiana ni ukunjaji wa migongo tu; lakini roller za mabati wote wanaagiza kutoka nje ya nchi, wanapofikisha bongo wanakunja design mbali mbali ilihali kumbe mabati ni yaleyale na chuma ni kilekile!
Kinachofanywa na viwanda vyetu ni kugonga mihuri ya nembo zao full stop!...hizo zingine ni mbwembwe za matangazo tu lakini mabati yote sawa.
*********************************
Kinachofanywa na viwanda vyetu ni kugonga mihuri ya nembo zao full stop!...hizo zingine ni mbwembwe za matangazo tu lakini mabati yote sawa.
*********************************