Kadhia ya nyumba kupigwa minada na mabenki

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,504
12,176
Mtaani hapa kuna nyumba 3 zimepigwa mnada kutokana na madeni ya mabenki.
Fedhea kwa familia niliyoiona ni huruma
Jamani msiombee yakukute haya utakufa kwa presha.
Bora ya BOMOA BOMOA unajua mnaahamishwa mtaa mzima ( kifo cha wengi ni harusi) kuliko kuhamishwa mtaani kwako peke yako. Halafu mtu mwingine anahamia kwa mbwembwe.
Anavunja nyumba nzima halafu anajenga ghorofa.

"NI BORA KUZEEKA BILA NYUMBA KULIKO KUISHI KWENYE NYUMBA YAKO KUMBE UNA BONGE LA DENI BENKI"
 
Back
Top Bottom