Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wadau naweza pata wapi kitabu cha Njama kilichondikwa na marehemu Musiba humu jamii forum?
Ndani ya Stedi kuu ya mabasi ubungo...kwa magari yaendayo mikoani (Maarufu Ubungo Bus terminal)...pale wanapouza magazeti !Wadau naweza pata wapi kitabu cha Njama kilichondikwa na marehemu Musiba humu jamii forum?
Kikosi cha kisasi au kingine?
Njama na vitabu vyote vya Elivis Musiba vipo mitaani .mwezi uliopita nilivununua kwa chinga Njama,Hofu,Kisasi kila kimoja elfu 10.Wadau naweza pata wapi kitabu cha Njama kilichondikwa na marehemu Musiba humu jamii forum?