AJALI MBAYA YA GARI BABATI

harder king

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
3,970
6,898
Kuna ajali mbaya imetokea Leo Aug20 maeneo ya galapo babat baada ya gari aina ya Noah kuacha njia na kupinduka na kujerui abiria wote huku wengine wakijeruiwa vibaya na kukimbizwa hospital ya wilaya ya babati MRARA na wengine kukimbizwa mkoni arusha (SELIAN) kutokana na hali zao kua mbaya zaidi.
Haijajulikana kwenye gari walikua abiria wangapi ila wote wapo wanapatiwa uduma.

Cha kusikitisha gari za kubebea wagonjwa kuwapeleka arusha hazikua na mafuta na ililazima ndugu na marafiki Wa wagonjwa kuchangia mafuta ili kuwezesha gari hizo kwenda selian arusha.


young kilimanjaro
 
Mafuta ya ambulance yatoke wapi wakati tumepigwa faini ya 90 billion na tunatakiwa tulipe ndio tupewe ndege yetu?
 
hiyo njia kuna siku nilikuwa na pickup hapo mbele ya kituo cha mafuta Mount meru kama unaelekea mjini.leo hii ningekua marehemu. waweke traficc police bana
 
We c ushapata habar asingeleta jee ulitaka upate habar gan eti mkuu wangu punguza mambo kama hayo
 
Back
Top Bottom