Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,939
Walasalam,
Naomba kama Kuna Mfanyakazi Yeyote wa Vodacom atusaidie wapi tunaweza peleka lalamiko likatatuliwa bila kusumbuliwa na Majibu ya hao Customer Cares.
Hivi Majuzi Vodacom wameintroduce kuwa unaweza lipia Bidhaa yoyote kwa kutumia Mpesa, na Kweli kuna mahala iwe Supermaket, Dula la Dawa au Hata Shell za mafuta wameweka vipeperushi vyao vya kuruhusu kulipa kwa Mpesa.
Sasa hivi Jana mimi nikiwa Mhanga Mmojawapo, Nimelipa bidhaa niliyokuwa naihitaji kwa Mpesa, Cha ajabu kumbe muda ule nafanya ule Muhamala Vodacom walikuwa na Matatizo yao ya Kimtandao, mimi nikafanya muhamala wangu mapa Mwisho , kwangu hela ikatoka na kwa yule ninayemlipa hela haikufika, Hivyo kwa kifupi nikanyimwa hiyo bidha niliyoihitaji mpaka Muda huu.
Baada ya kwasiliana na Vodacom kupitia hawa vijana wao wa Customer care walichonijibu kuwa wana tatizo hivyo wanalishughulikia nikawauliza for how long wanatarajia kutatua hiulo tatizo, Kama ilivyo kawaida ya hawa vijana wa customer care huwa hawajui chochote zaidi ya kusema tatizo linatatulika.
Jana nikakubali kuwa mjinga ila leo nikawapigia tena uzuri leo kapokea Mkaka nikamuuliza akanijibu kama majibu niliyojibiwa na Huyo Mfanyakazi wao wa Kike , Nilichomuuliza ni Kuwa mumeruhusu tuweze kulipa Huduma hata ikiwezekana M<adawa kwa kutumia huduma yenu, Sasa kama ningekuwa ninamnunulia Mgonjwa Dawa Je madhara haya ningerudishiwaje? Kama angekluwa ni Mgonjuwa na nipo Duka la Dawa na nimelipia nikihitaji nipewe dawa mgonjwa wangu apone na hali ikabadirika ningefidiwaje?
Wapendwa hili limenitokea mimi lakini sijawachoka, kama kuna mtu anajua wapi naweza kulodge claim za huu usumbufu naomba anisaidie. na Hii ni Kwa mitandao yote.,.......