Naapa; Mimi mlipa kodi sipo tayari kulipa bilioni 87

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Mimi kama kijana msomi mlipa kodi wa kitanzania NADIRIKI KUSEMA WAZI KABISA kuwa sipo tayari kulipa hizo fedha tunazodaiwa.

Viongozi waliosababisha uzembe huu, bila ya kujali vyeo vyao au kinga walizonazo kikatiba msalaba huu wataubeba wao na familia zao.

Je, wewe kama kijana msomi wa kitanzania upo tayari kubebeshwa msalaba huu!???
 
Nani wakumuajibisha huyu aliyetufikisha hapa?
Nadhani watendaji wote wa serikali wamejawama na hofu katika awamu hii ya uongozi.

Hata kama watu walale njaa tu lakini hela za wanaume zilipwe tu.
 
Blessed are the children who will inherit the national debt.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Mimi kama kijana msomi mlipa kodi wa kitanzania NADIRIKI KUSEMA WAZI KABISA kuwa sipo tayari kulipa hizo fedha tunazodaiwa.

Viongozi waliosababisha uzembe huu, bila ya kujali vyeo vyao au kinga walizonazo kikatiba msalaba huu wataubeba wao na familia zao.

Je, wewe kama kijana msomi wa kitanzania upo tayari kubebeshwa msalaba huu!???
usomi wako umetusaidia wapi na nini sisi watanzania kama unashinda JF kuikashifu nchi yako?
tueleze kinagaubaga hapa ni nini chanzo cha hilo deni ambalo hata kesi ya msingi huijui bali unakurupuka kama litoto la mafisadi na kujiita msomi kumbe machungu ya kutumbuliwa ndio shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani wakumuajibisha huyu aliyetufikisha hapa?
Nadhani watendaji wote wa serikali wamejawama na hofu katika awamu hii ya uongozi.

Hata kama watu walale njaa tu lakini hela za wanaume zilipwe tu.
Kama watendaji wa serikali wamejawa na hofu, sisi walipa kodi tunasema it's enough tumechoka.
 
usomi wako umetusaidia wapi na nini sisi watanzania kama unashinda JF kuikashifu nchi yako?
tueleze kinagaubaga hapa ni nini chanzo cha hilo deni ambalo hata kesi ya msingi huijui bali unakurupuka kama litoto la mafisadi na kujiita msomi kumbe machungu ya kutumbuliwa ndio shida

Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea kuwapigia mapambio hao mafisadi wa kijani hata kwa makosa ambayo yanaonekana wazi kabisa wakati ndugu zako huko vijijini hawana hata uhakika wa chakula.

Kuhusu chanzo cha deni, nafikiri ungemuiliza Bi Zamaradi Kawawa. Mimi sio msemaji wa serikali.
 
kama hujui huna haki ya kujifanya kuchangia no reseach no right to speak na safari ya magufuli ndio kwanza mwaka wa pili ebu ongezea minane mbele how do you feel si uhamie kenyatta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huyu JPm inabidi alipishwe hizo hela kwani yeye ndiye alisababisha hilo deni
 
kama hujui huna haki ya kujifanya kuchangia no reseach no right to speak na safari ya magufuli ndio kwanza mwaka wa pili ebu ongezea minane mbele how do you feel si uhamie kenyatta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tueleze wewe unayejua cz kama walipa kodi tuna haki ya kuhoji.
Na lazima tuhoji.
 
Back
Top Bottom