Tanzia: Alphonse Nchimbi wa Likonde Sekondari amefariki dunia

njuga

Member
Jul 31, 2017
24
16
Wanajamvi waliosoma Likonde Seminary Miaka ya 80 na Tisini wapenda kuwaarifu mwenzetu Alphonse Nchimbi amefariki dunia jana. Taratibu za kusafirisha zinafanika kivule tayari kwenda wilaya ya Nyasa Ruvuma kwa Mazishi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poti katangulia. Mkisafirisha kwenda Nyasa pitien njia ya Lindi mkifika Masasi mnistue nami nijumuike kwenda kuzika Nyasa. RIP Nchimbi
 
Back
Top Bottom