Jpm watumishi wa Immature walikukosea mini?

Mbingo

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
411
230
Ndugu wana jamvi ni takiribani miaka miwili tangia huyu Jpm aingie madarakani lakini mpaka sasa hakuwa alichokifanya kwa watumishi wa umma cha maana zaidi ya kuwaletea usumbufu wa uhakiki usiokwisha ili asipandishe watu madaraja na nyongeza ya mishahara, no dhahiri kuwa gharama za maisha zimepanda lakini huyu jpm hajaongeza hata mia sasa uzalendo wa kufanya kazi watautoa wapi nini maoni yako...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom