Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na...
3 Reactions
95 Replies
5K Views
Nina mwanangu anakaribia miaka 6 lakini kuongea ni tabu Alipokuwa mchanga alianza kuongea vizuri tu lakini cha ajabu akabadilika ghafla anakuwa haongei mfano ukimuuliza kitu hajibu ataenda tu...
65 Reactions
364 Replies
70K Views
Simu zimekuwa tatizo katika familia. Huwa unafanyaje? Je, unaruhusu simu mezani wakati wa kula nyumbani kwako?
6 Reactions
16 Replies
259 Views
1. Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Samia Suluhu Hassan. 2. Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Hamad Masauni. 3. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Mongoso Wambura 4...
13 Reactions
323 Replies
23K Views
Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; Maarifa yanayo zungumziwa sio ya shule ni maarifa ya kiroho. Changamoto zinazotokea kwenye maisha yako muda mwengine zinatokana na vizazi...
0 Reactions
2 Replies
217 Views
Isaya 42:6-7 Mimi, Bwana, nimekuita katika haki, nami nitakushika mkono, na kukulinda, na kukutoa uwe agano la watu, na nuru ya mataifa; Mungu kakuchagua ndio maana unapitia hizo changamoto...
3 Reactions
4 Replies
256 Views
Wavuta shisha habari iwafikie =========== Aprili 1, 2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter *******, amesema kuwa matumizi ya tumbaku yanaendelea kuwa chanzo...
0 Reactions
10 Replies
322 Views
Watu wengi wanafikiria kuwa kufurahia maisha ni kunywa kila siku, kwenda bar, au kununua pombe kila weekend. Lakini ukweli ni kwamba pombe ni money leak kubwa, productivity killer, na stress...
17 Reactions
106 Replies
2K Views
Awali yalikua yalikua yanauzwa kwa Bei ya 7K kwa Lita tano, pamoja na bei ya sasa kua mara mbili zaidi ya Bei hiyo ya awali bado yanaonekana kua na Unafuu zaidi ya bei halisi ya Mafuta mengine kwa...
67 Reactions
502 Replies
40K Views
Nilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana...
32 Reactions
171 Replies
15K Views
Wana Jf , nasikitika kuwaarifu msiba wa Ndg Gottee Amefariki leo saa sita mchana Muhimbili-Mloganzila Wing,Ward Na6 Room 6 Magonjwa ya Ndani. Tarehe 7 March 2020 ali-colapse na kupasuka mshipa...
24 Reactions
156 Replies
19K Views
Liverpool, Real Madrid na Arsenal ni timu za mpira za hovyo sana kuwahi kutokea. Ila Mungu nimwema angalau leo nimeamka na nguvu na kuwaza mambo mengine nakusahau yalioyonitokea jumamosi. Mkeka...
7 Reactions
31 Replies
525 Views
Wanaouchukia Uislam mnajisumbua Farao mwenyewe yalimshinda Kuna watu humu kazi yao ni moja tu, kuukashifu uislam kwa gharama zozote zile. Kuanzisha nyuzi za chuki dhidi uislam Kuwaita majina...
10 Reactions
52 Replies
659 Views
Huwa sipendi kuwa na uhusiano na wanawake wasiokuwa na gari. Mara nyingi mkipanga appointment atakuja na Bajaj au Boda boda. Sasa anakuwa mchafu jasho na nini, mimi huwa sipendi kabisa. Mjitahidi...
20 Reactions
362 Replies
34K Views
Habari wana JF, Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa...
151 Reactions
624 Replies
27K Views
Nimemwambia aendelee kushikilia hivyo kuwa alishikwa bega na jamaa kuja angalia amekuta nyeti yake imepungua sana. Hapo kabla aseme haikuwa hivyo. Sasa Police wadhibitishe kuwa ilivyo hivyo ndo...
2 Reactions
3 Replies
158 Views
Siku moja nilipo kua nafatilia udaku wa hapa na pale, niliona clip gsm akiingia kwenye gari na mkewe cha kushangaza gsm hakuingia kwenye gari alizunguka kwanza akahakikisha mkewe kaingia kwenye...
11 Reactions
70 Replies
1K Views
Sehemu ya kula wasafiri pale Morogoro Msamvu njia ya kwenda Iringa ni chafu, vyakula vinavyouzwa vimelala siku mbili, chips ni nyeusiii sijui ni mafuta au ndio tunauziwa vyakula vya kulala! Na...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Anonymous
Magari wakati wa mvua mara nyingi yanakwam Upimaji kiwango cha lami sijui wanapima mara ngapi ila wapimaji mara nyingi wanakula kodi za watanzania kwa kuja kupima. Wabunge madiwani kura zao...
2 Reactions
5 Replies
142 Views
Kijana mmoja mtumishi wa serikalini, avamiwa na vibaka, maeneo ya kijangwani na kumpandikizia eti kamshika mtu bega kumbe ni mkakati wa kumpora, kapewa kichapo, na pesa milioni tano wamesepa nazo...
5 Reactions
21 Replies
516 Views
Back
Top Bottom