Uongo Mwingine wa Mathayo uko hapa:

Uongo Mwingine wa Mathayo uko hapa:

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,642
Reaction score
40,981
"Katika wakati wa Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, watu walio na hekima kutoka Mashariki walifika Yerusalem, wakauliza, "Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake wakati wa kucha, na tuli kuja kumwabudu." (Mathew 2:1-2)

Inaonekana, hawa walikuwa Zoroastrians kutoka Persia. Kwa hiyo, swali ni kwa nini Magi walikuja mpaka Yerusalem ili kumwabudu mfalme wa Wayahudi?

Mathayo aliunda unabii wa Magi na kuufanya utimie kwa Yesu. Lakini kwa nini Mark, Luka na Yohana au waandishi wengine wa Agano Jipya hawakuitaja tukio la kuuwawa kwa watoto wachanga wala safari ya kwenda na kurudi Misri?
 
Unabii wa Magi (Magi Prophecy) ni hadithi inayotumiwa na mwandishi wa Injili ya Mathew (Matthew) kuthibitisha kuwa Yesu ni Masihi (Messiah) aliyetabiriwa.

Hoja ni kwamba hakuna maandiko mengine ya Biblia yanayotaja tukio hili, wala maandiko ya kihistoria nje ya Biblia. Hii inafanya dhahiri ya watu kudhani kuwa hadithi hii ilibuniwa na mathayo ili kuthibitisha utimilifu wa unabii wa kale kuhusu Masihi.
 
"Katika wakati wa Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, watu walio na hekima kutoka Mashariki walifika Yerusalem, wakauliza, "Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake wakati wa kucha, na tuli kuja kumwabudu." (Mathew 2:1-2)

Inaonekana, hawa walikuwa Zoroastrians kutoka Persia. Kwa hiyo, swali ni kwa nini Magi walikuja mpaka Yerusalem ili kumwabudu mfalme wa Wayahudi?

Mathayo aliunda unabii wa Magi na kuufanya utimie kwa Yesu. Lakini kwa nini Mark, Luka na Yohana au waandishi wengine wa Agano Jipya hawakuitaja tukio la kuuwawa kwa watoto wachanga wala safari ya kwenda na kurudi Misri?
JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
 
Chizi Maarifa
 
MUHAMMAD AKIRI KUCHEZEWA NA SHETANI

1. Mtume Muhammad asema, Yesu hakuwai chezewa na Shetani.
2. Muhammad akiri kuwa, Waislam wote wanachezewa na kupulizwa matakoni na Shetani.
3. Muhammad akiri kuwa Uislam ni Bandia.
Hebu tuanze kwa ushahidi kuhusu Yesu ambaye hakuchezewa na Shetani.
MUHAMMAD AKIRI KUWA YESU HAKUCHEZEWA NA SHETANI
Hadith ya Bhukari Mwaminifu 4:506 kama ilivyo letwa kwenu na Abu Huraira:
Mtume Muhammad alisema, Binadamu yeyote yule anapo zaliwa, Shetani humgusa sehemu zote mbili za mwili wake kwa vidole viwili, ISIPO KUWA Yesu Mwana wa Mariamu ambaye Shetani alishindwa kumgusa na wala kumsogolea.
HADITHI nyinge ya Mkweli Mwaminifu Bhukar 4: 642, kama ilivyo letwa kwenu na Said bin Al-Musaiyab:
MUHAMMAD AKIRI KUCHEZEWA NA SHETANI
Abu Huraira alisema, "nilimsikia Nabii wa Allah akisema, Hakuna kiumbe ambaye hakuguswa na Shetani, ndio maana mtoto hulia kwa sauti kubwa wakati wa kuzaliwa kwasababu Shetani anakuwa amemgusa, ISIPOKUWA Mariyam na Mwanae Yesu, wao hawakuguswa na Shetani. Kisha Abu Huraira akasema : " Na najikinga na Wewe kwa ajili yake na kwa ajili ya watoto wake kutoka kiwa Shetani" ( 3.36 )
Ndugu zanguni, Muhammad leo amekiri kuwa, YESU hakuwai kuguswa na Shetani lakini yeye na Waislam wote wameguswa na kuchezewa na Shetani.
SHETANI ANAWAPULIZA WAISLAM MSIKITINI
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Muhammad anasema: Shetani anaingia msikitni na kuwachezea Waislam kama ushahidi unavyo sema hapo juu.
Kwanini mfuate dini ambayo inaongozwa na MASHETANI Msikitini?
Kwanini Shetani ana mamlaka ya kuwapuliza Waislam matako yao tena wakiwa Msikitini?
Karibuni kwa Yesu ambaye hakuwai guswa na Shetani kama alivyo kiri Muhammad
 
MUHAMAMD AMESEMA SHETANI ANAISHI KWENYE PUA ZA WAISLAM WOTE NA NZI WACHAFU NI DAWA.

1. ETI, SHETANI ANAISHI KWENYE PUA YAKO
2. ETI NZI WACHAFU NI DAWA

Ndugu msomaji,
Huu ni msiba:
1. ETI, SHETANI ANAISHI KWENYE PUA YAKO
Shetani Puani Mwako?
"Abu Huraira alisimulia: Nabii alisema, ‘Kama mtu yeyote kati yenu akiamka toka usingizini na kutawadha [kaida ya kujitakasa], anapaswa kuosha pua yake mara tatu kwa kuingiza maji na kuyatoa kwa kuhema kwa sababu Shetani alikuwa kwenye sehemu ya juu ya pua yake usiku mzima."(1) Maelezo ya mwenye kutafsiri (1) yanasema, "Tunapaswa kuamini kuwa ni kweli kwamba Shetani anakaa kwenye sehemu ya juu ya pua ya mtu hata kama hatuwezi kuelewa kwa sasa, kwani jambo hili linahusika na ulimwengu usioonekana ambao hatujui lolote kuhusiana nao isipokuwa yale ambayo Mwenyezi Mungu ametuambia kupitia Mtume wake." Bukhari sura ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.516 uk.328.
Huu nu uongo mkubwa sana ambao Muhammad amesema katika umma yake.
[Moja]: Shetani hana uwezo wa kuwa kila mahali kwa wakati mmoja [omnipresence]
[Mbili]: Shetani ni roho na hana geographical location katika mwili wa bindamu.
[Tatu]; Labda Shetani anaishi kwenye pua za Waislam pekee. Maana ukimpokea Yesu na kujazwa na Roho Mtakatifu, Shetani hawezi kuwa anaishi kwenye pua yako kama anavyo ishi kwenye pua za Waislam wote.
2. ETI NZI WACHAFU NI DAWA
Kumwamini Muhammad Wakati Nzi Wanakuwepo:
"Abu Huraira alisimulia: Nabii alisema, ‘Kama nzi ameangukia kwenye kinywaji cha mtu yoyote kati yenu, na amchovye (kwenye kinywaji), kwani bawa lake moja lina ugonjwa na lingine lina tiba ya huo ugonjwa." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 16 na.537 uk.338. Tazama pia Abu Dawud juzuu ya 3 kitabu cha 21 (Kitabu cha Vyakula) na.3835 uk.1080.
"Abu Huraira alisimulia: Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema, ‘Kama nzi ameangukia kwenye chombo cha yoyote kati yenu, mtu huyo na amchovye huyo nzi (kwenye chombo) kisha amtupe, kwani kwenye bawa lake moja kuna ugonjwa na kwenye lingine kuna uponyaji (1) (kiuasumu), yaani tiba ya ule ugonjwa." Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 71 (Kitabu cha Dawa) sura ya 58 na.673 uk.452-453.
Maelezo ya mwenye kutafsiri

(1) yanasema, "Katika taaluma ya uganga inafahamika sana siku hizi kwamba nzi hubeba vijidudu vinavyosababisha magonjwa [pathogens] kwenye baadhi ya sehemu za mwili wake kama alivyosema Nabii (karibu miaka 1400 iliyopita wakati ambapo binadamu walikuwa na ufahamu mdogo sana wa uganga wa kisasa.) Vivyo hivyo, Mungu aliumba vumbe na namna za utendaji vinavyoua hivi vijidudu vyenye kusababisha magonjwa mf. Kuvu ya penicillin (penicillin Fungus) huua vijidudu kama Staphalococci na vinginevyo. Hivi karibuni majaribio yaliyofanywa chini ya usimamizi yameonyesha kuwa nzi hubeba ugonjwa (pathagens) pamoja na viuasumu vya vijidudu hivyo. Kwa kawaida nzi anapogusa chakula kinachomiminika huathiri kimiminika kwa vijidudu vyake, hivyo ni lazima kumchovya ili aweze kutoa viuasumu vya vijidudu hivyo kwa lengo la kusawazisha vijidudu hivyo. Kuhusiana na somo hili pia niliandika kwa rafiki yangu kupitia kwa Dr. Muhammad M. El-SAMAHY, mkuu wa idara ya hadithi ya Chuo Kikuu cha Al-Azhar CAIRO (Misri) ambaye ameandika makala kuhusu Hadithi hii na kuhusiana na taaluma ya uganga amesema kuwa wataalamu wa vijidudu vidogo (microbiologists) wamethibitisha kuwa kuna chembe chachu zenye kukata kwa urefu zinazoishi kama vimelea ndani ya tumbo la nzi na chembe hizi chachu hujichomoza kupitia mishipa ya kupumulia ya nzi na kama mtu akimchovya nzi kwenye kimiminika, chembe hizi hupasuka kwenye kimiminika na vitu vilivyomo kwenye chembe hizi ni viuasumu vya vijidudu ambavyo nzi huvibeba."
Karibu madaktari wote, kama si Waislam, hudhihaki wakisika kuhusu kumchovya nzi kwa makusudi kwenye kinyaji chako.
Mungu awabariki sana,
 
"Katika wakati wa Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, watu walio na hekima kutoka Mashariki walifika Yerusalem, wakauliza, "Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake wakati wa kucha, na tuli kuja kumwabudu." (Mathew 2:1-2)

Inaonekana, hawa walikuwa Zoroastrians kutoka Persia. Kwa hiyo, swali ni kwa nini Magi walikuja mpaka Yerusalem ili kumwabudu mfalme wa Wayahudi?

Mathayo aliunda unabii wa Magi na kuufanya utimie kwa Yesu. Lakini kwa nini Mark, Luka na Yohana au waandishi wengine wa Agano Jipya hawakuitaja tukio la kuuwawa kwa watoto wachanga wala safari ya kwenda na kurudi Misri?
MUHAMAMD AMESEMA SHETANI ANAISHI KWENYE PUA ZA WAISLAM WOTE NA NZI WACHAFU NI DAWA.

1. ETI, SHETANI ANAISHI KWENYE PUA YAKO
2. ETI NZI WACHAFU NI DAWA

Ndugu msomaji,
Huu ni msiba:
1. ETI, SHETANI ANAISHI KWENYE PUA YAKO
Shetani Puani Mwako?
"Abu Huraira alisimulia: Nabii alisema, ‘Kama mtu yeyote kati yenu akiamka toka usingizini na kutawadha [kaida ya kujitakasa], anapaswa kuosha pua yake mara tatu kwa kuingiza maji na kuyatoa kwa kuhema kwa sababu Shetani alikuwa kwenye sehemu ya juu ya pua yake usiku mzima."(1) Maelezo ya mwenye kutafsiri (1) yanasema, "Tunapaswa kuamini kuwa ni kweli kwamba Shetani anakaa kwenye sehemu ya juu ya pua ya mtu hata kama hatuwezi kuelewa kwa sasa, kwani jambo hili linahusika na ulimwengu usioonekana ambao hatujui lolote kuhusiana nao isipokuwa yale ambayo Mwenyezi Mungu ametuambia kupitia Mtume wake." Bukhari sura ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.516 uk.328.
Huu nu uongo mkubwa sana ambao Muhammad amesema katika umma yake.
[Moja]: Shetani hana uwezo wa kuwa kila mahali kwa wakati mmoja [omnipresence]
[Mbili]: Shetani ni roho na hana geographical location katika mwili wa bindamu.
[Tatu]; Labda Shetani anaishi kwenye pua za Waislam pekee. Maana ukimpokea Yesu na kujazwa na Roho Mtakatifu, Shetani hawezi kuwa anaishi kwenye pua yako kama anavyo ishi kwenye pua za Waislam wote.
2. ETI NZI WACHAFU NI DAWA
Kumwamini Muhammad Wakati Nzi Wanakuwepo:
"Abu Huraira alisimulia: Nabii alisema, ‘Kama nzi ameangukia kwenye kinywaji cha mtu yoyote kati yenu, na amchovye (kwenye kinywaji), kwani bawa lake moja lina ugonjwa na lingine lina tiba ya huo ugonjwa." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 16 na.537 uk.338. Tazama pia Abu Dawud juzuu ya 3 kitabu cha 21 (Kitabu cha Vyakula) na.3835 uk.1080.
"Abu Huraira alisimulia: Mtume wa Mwenyezi Mungu alisema, ‘Kama nzi ameangukia kwenye chombo cha yoyote kati yenu, mtu huyo na amchovye huyo nzi (kwenye chombo) kisha amtupe, kwani kwenye bawa lake moja kuna ugonjwa na kwenye lingine kuna uponyaji (1) (kiuasumu), yaani tiba ya ule ugonjwa." Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 71 (Kitabu cha Dawa) sura ya 58 na.673 uk.452-453.
Maelezo ya mwenye kutafsiri

(1) yanasema, "Katika taaluma ya uganga inafahamika sana siku hizi kwamba nzi hubeba vijidudu vinavyosababisha magonjwa [pathogens] kwenye baadhi ya sehemu za mwili wake kama alivyosema Nabii (karibu miaka 1400 iliyopita wakati ambapo binadamu walikuwa na ufahamu mdogo sana wa uganga wa kisasa.) Vivyo hivyo, Mungu aliumba vumbe na namna za utendaji vinavyoua hivi vijidudu vyenye kusababisha magonjwa mf. Kuvu ya penicillin (penicillin Fungus) huua vijidudu kama Staphalococci na vinginevyo. Hivi karibuni majaribio yaliyofanywa chini ya usimamizi yameonyesha kuwa nzi hubeba ugonjwa (pathagens) pamoja na viuasumu vya vijidudu hivyo. Kwa kawaida nzi anapogusa chakula kinachomiminika huathiri kimiminika kwa vijidudu vyake, hivyo ni lazima kumchovya ili aweze kutoa viuasumu vya vijidudu hivyo kwa lengo la kusawazisha vijidudu hivyo. Kuhusiana na somo hili pia niliandika kwa rafiki yangu kupitia kwa Dr. Muhammad M. El-SAMAHY, mkuu wa idara ya hadithi ya Chuo Kikuu cha Al-Azhar CAIRO (Misri) ambaye ameandika makala kuhusu Hadithi hii na kuhusiana na taaluma ya uganga amesema kuwa wataalamu wa vijidudu vidogo (microbiologists) wamethibitisha kuwa kuna chembe chachu zenye kukata kwa urefu zinazoishi kama vimelea ndani ya tumbo la nzi na chembe hizi chachu hujichomoza kupitia mishipa ya kupumulia ya nzi na kama mtu akimchovya nzi kwenye kimiminika, chembe hizi hupasuka kwenye kimiminika na vitu vilivyomo kwenye chembe hizi ni viuasumu vya vijidudu ambavyo nzi huvibeba."
Karibu madaktari wote, kama si Waislam, hudhihaki wakisika kuhusu kumchovya nzi kwa makusudi kwenye kinyaji chako.
Mungu awabariki sana,
 
JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
Acha udini mkuu jikite kwenye hoja hi Mada haina uhusiono na Imani nyingine, kama huna maeleza soma comment za wengine.
 
"Katika wakati wa Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, watu walio na hekima kutoka Mashariki walifika Yerusalem, wakauliza, "Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake wakati wa kucha, na tuli kuja kumwabudu." (Mathew 2:1-2)

Inaonekana, hawa walikuwa Zoroastrians kutoka Persia. Kwa hiyo, swali ni kwa nini Magi walikuja mpaka Yerusalem ili kumwabudu mfalme wa Wayahudi?

Mathayo aliunda unabii wa Magi na kuufanya utimie kwa Yesu. Lakini kwa nini Mark, Luka na Yohana au waandishi wengine wa Agano Jipya hawakuitaja tukio la kuuwawa kwa watoto wachanga wala safari ya kwenda na kurudi Misri?
Ni upunguani wa fikra na akili, kumwambia mtu ni mwongo, huku wewe huna huo ukweli.

Kwa mfano, mimi nikisema naishi Tegeta, ni mwendawazimu pekee anayeweza kusema kuwa mimi ni mwongo, wakati haweza kueleza mimi naishi wapi, kwa vielelezo thabiti.

Kwa namna mleta mada alivyoleta mada yake, bila shaka ana matatizo akilini na nafsini mwake.

Anavyoonesha ni punguani, uthibitisho wa Mt. Mathew kuwa ni mwongo, eti kwa sababu Luka na wainjili wengine hawajaandika tukio hilo! Mleta mada hana upeo kabisa wa akili ya kutambua kwa nini katika injili 15, ilionekana hizo 4 tu ndiyo ziwekwe kama injili zinazojitegemea. Sababu kubwa ni kwamba kwa sababu kila moja ilikuwa na kitu cha ziada zaidi ya nyingine, japo mengi yanafanana. Hakukuwa na maana uweke Injili 3 au 5 ambazo zote zina maandjko ambayo exactly the same.

Mt. Yohana anaeleza wazi kuwa kuna mengi yaliyotendwa na Yesu ambayo hajaandika, lakini ameyaandika hayo aliyoyaandika ili mpate kusaidiki na kuokoka. Wainjili, kikubwa walichokilenga ni maagizo na fafanuzi za Yesu Kristo zilizolenga tunatakiwa kufanya nini, yeye ni nani, kwa nini amekuja, na upi mpango wa Mungu juu ya mwanadamu. Na kuelezea matukio mbalimbali yanayodhihirisha kuwa Yesu ni mwokozi.

Matukio mengine ni ya ziada. Na kwenye lengo kuu, wote wamewiana katika maandiko yao. Maandiko yao yote hayatofautiani, bali kuna baadhi ya matukio unaona mwingine ameandika, mwingine hajaandika. Huko siyo kutofautiana. Kama mmoja akasema Yesu alizaliwa Betlehem. Mwingine akaandika kuwa Yesu alizaliwa Betlehem wakati wa mfalme Herode. Huwezi kusema wametofautiana, bali mwingine ameongezea na kumtaja mtawala wa wakati huo.
 
"Katika wakati wa Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, watu walio na hekima kutoka Mashariki walifika Yerusalem, wakauliza, "Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake wakati wa kucha, na tuli kuja kumwabudu." (Mathew 2:1-2)

Inaonekana, hawa walikuwa Zoroastrians kutoka Persia. Kwa hiyo, swali ni kwa nini Magi walikuja mpaka Yerusalem ili kumwabudu mfalme wa Wayahudi?

Mathayo aliunda unabii wa Magi na kuufanya utimie kwa Yesu. Lakini kwa nini Mark, Luka na Yohana au waandishi wengine wa Agano Jipya hawakuitaja tukio la kuuwawa kwa watoto wachanga wala safari ya kwenda na kurudi Misri?
Kwa hiyo Mathayo, myahudi aliyeishi wakati wa Yesu akiwa duniani, akawa mwanafunzi wake, aliyeaminiwa na Yesu kuwa mmoja wa mitume wake akatunga uongo kuhusu Yesu ili aje kuuawa kwa uongo huo?

Lakini mwarabu aliyeishi miaka 600 baada ya Yesu, aliyezaliwa uarabuni, eneo lililotawaliwa na upagani, akaishi miaka 40 akiwa mpagani, akatokewa na kiumbe pangoni kilichomlazimisha ku-recite pasi na yeye kujua kusoma, ndiye kaandika ukweli kuhusu Yesu? Does it make sense to you?
 
Mmh mkuu jibu hoja acha kuvamia Imani za wengine.
 
"Katika wakati wa Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, watu walio na hekima kutoka Mashariki walifika Yerusalem, wakauliza, "Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake wakati wa kucha, na tuli kuja kumwabudu." (Mathew 2:1-2)

Inaonekana, hawa walikuwa Zoroastrians kutoka Persia. Kwa hiyo, swali ni kwa nini Magi walikuja mpaka Yerusalem ili kumwabudu mfalme wa Wayahudi?

Mathayo aliunda unabii wa Magi na kuufanya utimie kwa Yesu. Lakini kwa nini Mark, Luka na Yohana au waandishi wengine wa Agano Jipya hawakuitaja tukio la kuuwawa kwa watoto wachanga wala safari ya kwenda na kurudi Misri?

Hii pilipili usioila bado inaendelea kukuwasha? Kwanini unatumia nguvu na muda mwingi kupambana na kitu ambacho kamwe hutakiweza?
Endelea kuwa na bidii kufuata dini yako...........achana na dini zisizo kuhusu. By the way, mbele ya Mwenyezi Mungu kila mtu atabeba mzigi wake mwenyewe.
 
Mkuu hili jambo ni la public all humanity kukemea uongo ni kazi ya kila binaadamu mpenda ukweli hayo yana nihusu sana.
 
Back
Top Bottom