Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukielewa unaruhusiwa kumtafsiria Na mwenzako!, Mnenaji ni Ilhan Omar!, Karibuni!.
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Kusali kwangu kote hapa duniani sijawahi kukutana na padre kilema. Au ni makanisa ninayo sali tuu? Je ni kigezo kimojawapo cha kuwa Padre?
11 Reactions
256 Replies
67K Views
Ni muda sasa DANGOTE CEMENT imeadimika sokoni na hivyo kupelekea cement zingine kupandisha bei kutoka Tsh.9500/= kwa mfuko hadi kufikia Tsh.11,500/= Jambo hili limepelekea gharama za ujenzi...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Amani iwe kwenu Wakuu. Naomba mwenye anajua sehemu nzuri ya kutoka mtoko na familia anielekeze.Sehemu yenyewe iwe garden na isiwe ina makelele kama ya mziki nakadhalika.Sehemu ambayo hata mtoto...
2 Reactions
38 Replies
10K Views
Habari wakuu, Naomba msaada kuhusu channe (E) inapatikana kwenye kingamzi gani.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Jf Katika hufuma hii ya usafiri huu wa mwendokasi kutokea kituo cha Mbezi mpaka Kimara. Katika kituo cha Mbezi bei elekezi ya nauli in shilingi za kitanzania mia NNE 400/= uwe unakwenda...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kamati iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto ulioteketeza Soko la SIDO Jijini Mbeya imekabidhi ripoti yake leo ikionyesha chanzo cha moto huo ni jiko la Mkaa ndani ya kibanda cha mama lishe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anthony Lusekelo "Mungu ibariki Tanzania, katika vita hii ya kiuchumi namtia moyo rais wetu ambaye ndiye kiongozi wa vita hii, tutasikia mengi ambayo yatatuvunja moyo lakini kwa mshikamano na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikitishwa sana na operations mbalimbalinambazo askari wetu wamekuwa wakifanya. Utaona wanafanya kibabe sana na hawataki kabisa kutumia akili. Nimekuwa nikijiuliza ni nani au kwanini...
16 Reactions
55 Replies
4K Views
Salamu wapendwa, Kama tulivyotangaziwa na tcra kwamba kuanzia March mosi tutaweza kuhama kutoka mtandao mmoja kwenda meingine kwa namba ileile. Sasa naomba aliyefanikiwa ilo zoezi anipe elimu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Dar es Salaam, Anthony Lusekelo amefunguka na kumtia faraja Rais katika mapambano dhidi ya kuondoa umasikini Tanzania na kusema maadui wa Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wapendwa! Naomba kupatiwa muongozo wa "namna ya kufanya" ili Chama changu cha Walimu (CWT) kiweze kunisaidia, katika wakati huu mgumu ambapo nipo kwenye changamoto nyingi za...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Nahisi Mungu ni mbinafsi kwa sababu zifuatazo 1)humpa amtakaye, Mungu kupitia vitabu vya dini amekuwa akisema mara kwa mara kwamba yeye humpa neema na humfanikishia mahitaji mja amtakaye, hapa...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia (TGNP), Lilian Liundi amesema nguvu ya uwekezaji katika Sera na bajeti inahitajika katika kuhakikisha wanawake wanajikomboa katika uchumi. Amesema...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Habari wana JF. Katika mfumo uliopita uliokuwa unatumiwa na Traffic kunakili makosa ya madereva/magari , ungepiga *152*75# ungepata taarifa zote i.e sababu ya Faini, kiasi cha kulipa, reference...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Kuna ajali imetokea huko HUNGUMALWA wilayani Kwimba barabara ya MWANZA kwenda Shinyanga imehusisha Basi la kampuni ya Frester lilikuwa linaelekea Kahama likitoka Mwz pamoja na Lori lililokuwa na...
2 Reactions
38 Replies
11K Views
Hili ni tabiri linalosemwa sena na hawa mashoga, kwamba mpaka mwisho wa mwaka 2050, basi mashoga watakuwa ndiyo watawala wa dunia! Ni tishio sikatai, je yamaanisha vizazi vyetu vitatoweka?! Watoto...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna ajali mbaya imetokeo muda huu maeneo ya Matumbi Darajani. Ajali iyo imehusisha daladala la DCM linalofanya route toka Sim 2000 to Gongolamboto na lorry la scania. Hali ya Daladala...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Ni wajibu wa kila mtanzania kuilinda na kuiheshimu nchi yetu(kiusalama na kiuchumi),hakuna mtu kutoka nje atakayeweza kuilinda nchi yetu. Tufuate sheria na taratibu zilizowekwa,kama hujui jambo...
2 Reactions
1 Replies
720 Views
Back
Top Bottom