Kupatwa kwa jua

Kupatwa kwa jua

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
Walipotangaza jua litapatwa leo nikaamua sinema hiyo niifuate angani niione bila ya kuhadithiwa.

Nilichoambulia ni usiku wa ghafla kwa dakika tano anga lote giza baadaye jua likatoka tena ghafla.

Acheni masihara, Mungu mkubwa na siku ya kiama itafika. Nimekiri kwa Mungu kuangamiza dunia nzima ni suala la dakika sifuri.
ba8704470618b7be69d28c2b10716a0a.jpg
11b322d8e0599fa753944aa047068b54.jpg
 
Kuna watu wanasema hakuna Mungu eti kisa ni sayansi. Watu wa hivi ni kwa sababu hawana elimu ya dini.

Kimsingi kadiri sayansi inavyokuwa ndio usalama wa dunia unavyozidi kuwa mashakani.

Sasa hapo jua limepatwa kwa muda mfupi tu. Likipatwa wiki moja jee? Manyuklia na masola power yakichemka na ku freak out kwa kukosa nguvu za jua, shyiiiiiite!
 
Mungu yupo ila hivi vitu ni Sayansi bana,
Maana kama sisi binadamu tunaweza kujua mahali, muda na duration ya kutokea kwa hivi vitu hapo inathibitisha kua ni vitu vya kawaida tu
 
Mungu yupo ila hivi vitu ni Sayansi bana,
Maana kama sisi binadamu tunaweza kujua mahali, muda na duration ya kutokea kwa hivi vitu hapo inathibitisha kua ni vitu vya kawaida tu

Sayansi inatumia vitu vilivyopo tayari lakini haitengenezi vitu from scratch. Na kuna vitu vingine hata sayansi haina majibu. Muulize anaetengeneza chip ya komputa inawezaje kusafirisha picha za watu uone atakujibu nini.
 
Kujua itatokea lini ni kusoma mchezo unavyoeenda watu. Watu walikuwa wanatumia nyota kusafiria baharini.
 
Back
Top Bottom