Conspiracy Kuungua Soko la Sido Mbeya

Conspiracy Kuungua Soko la Sido Mbeya

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,765
Reaction score
32,389
kumekuwa na theories kadhaa kuhusiana na kuungua kwa soko la sido mbeya. kama kawaida yanapotokea majanga kama haya kumekuwa na maneno ambayo yanaweza kuwa kweli au si kweli. kwa kizungu ni theories ambazo huitwa conspiracy . ni speculations mbalimbali. kwa wale ambao wapo mbeya wameweza kujionea watu wakizimia na wengine kufa kwa pressure kutokana na kuunguliwa maduka yao na mali walizokuwa nazo ndani.

1. wakazi au wafanyabiashara wa eneo hilo ni muda mrefu waliambiwa wahame na serikali warud kwenye soko la mwanjelwa ambalo ni muda mrefu limemalizwa kujengwa na kuanza kutumika lakini wamekuwa wagumu kurudi kutokana na kuzoea sido na pia wateja wengi kuja hapo. serikali haikutenga sido liwe soko la kudumu kutokana na sababu kadha wa kadhaa. hivyo inasemekana njia pekee yakuwaondoa ilikuwa ni kulichoma moto halafu baada ya hapo kuzuia kujengwa upya kwa maduka. na utaratibu huu umekuwa ukitumika mara nyingi kuwahamisha watu hasa maeneo ya sokoni.

2. kuwa ni ushirikina kwa wauzaji au wenye maduka na mmoja katika shughuliz zake hizo ndo amepelekea soko zima kuungua.
 
Usilolijua ni Sawa na Usiku wa giza nene unaongelea soko lililoisha lip?kama uko mbali na mbeya kaa kimya hv wafanyabiashara6000 wanaweza kuingia kwenye kale kasoko ambako watu 500 tu hawaingii! Haya ni maajabu mengine kufanywa na serikali kwa wananchi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua nchi nyingine tayari mda huu tumeshajua chanzo cha mtu na aliyehusika. Ila not in Tz
 
Na leo wamepiga mabomu nadhan wote mmewahi cheki muvi ya sarafina ndo ilikua kama vile
 
Mbinu za mwaka 47,kama serikali inatumia mbinu hizi za zama za mawe,hatuna viongozi,viongozi wetu wanamawazo mgando sana,
Kwa uzoefu wangu,katika taasisi za elimu ya juu,wanafunzi wakigoma,ufumbuzi wa serikali huwa no kuwafukuza,harafu wanaambiwa warudi kwa masharti kibao,hizi ni mbinu zinazotumika sana,
Watu wamesoma,lakini hawafikilii,sasa utachomaje soko ili kufukuza watu,mbona kwenye bomoa bomoa,nyumba hazichomwi?watu wanajurishwa wanahama
 
Mbona nmetumia kiswahili chepesi sana?kiswahili nlichojifunza darasa la pili. Ukiona bado hujaelewa ujue hii si level yako au wewe si mlengwa
Andika ueleweke basi..
 
Back
Top Bottom