WAKAZI WA KIMARA WATELEKEZWA

WAKAZI WA KIMARA WATELEKEZWA

Kwa kweli yanayo endelea KIMARA inasikitisha na ni unyama wa hali ya juu !!

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1503462058372.jpeg
 
Duh wasije wakaja na huku kwetu tu maana dah! Itakuwa msala
 
Hivi kile kituo kipya cha Mbezi Mwisho nacho kitabomolewa?
 
Serikali sikivu ya wanyonge walioibiwa Sana na mafisadi wakionyeshwa namna ya kuishi huku wakitakiwa kupongeza kwa utendaji ulotukuka,
Hata mvunja Sheria za nchi hupewa hifadhi gerezani

In Tanzania we smile and suffer
 
Sasa kulala nje namna hii maana yake nn? Unategemea serikali ikupe nyumba? Never! Tafuta namna ya kuishi usije sababisha magonjwa kwa watoto kama pneumonia upate gharama zaidi ya kuwatibu.
Hayaja kukuta wewe ndiyo maana unakuwa na jeuri yakusema hivyo. Temea mate Chini. ........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom