Pombe imewahi kukusaidia nini katika maisha yako?

Pombe imewahi kukusaidia nini katika maisha yako?

Kiberiti Kidogo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
575
Reaction score
918
Nimejaribu kuuliza tuu kwa wadau kuhusu pombe kuwa imewahi kuwasaidiaje? Binafsi pombe haijawahi nitupa mkono. Imenipa marafiki wengi sana. Na hata mafanikio yangu nimeyapata kwenye pombe. Unaweza uliza mafanikio gani? Nimekuwa nikutumia kilevi kabla sijaanza kujisomea na hata kwenye mitihani ya O level, advance na chuo kikuu nilikuwa nikiingia nikiwa mtungi. Kwenye job interview yoyote ile sijawahi kushindwa maana niko na pombe. Kimaisha pia ninazidi kufanikiwa sababu ya pombe. Wewe je mwenzangu pombe imekusaidia katika nini?
 
Haijawahi kumuacha mtu salama. Wengi wamebakwa na ku fii rwaa kwasababu ya kunywa mipombe bila staha na kituo. Sijawahi kuipenda pombe na haijanisaidia chochote zaidi kuwafilisi nliofahamiana nao kwa kuendekeza pombe.
 
Kuimiminia kwenye makinikia ghafla bin vu dhahabu imeongezeka mara 10 zaidi kwenye makinikia.
(usijizuie kucheka)😀😀
 
Haijawahi kumuacha mtu salama. Wengi wamebakwa na ku fii rwaa kwasababu ya kunywa mipombe bila staha na kituo. Sijawahi kuipenda pombe na haijanisaidia chochote zaidi kuwafilisi nliofahamiana nao kwa kuendekeza pombe.
Umeweka qualification hapo...."bila staha"....sisi tunakunywa kistaarabu...dili yangu ya kwanza iliyofanya nimek alot of millions ...nilipata kwenye beer...
 
Haijawahi kumuacha mtu salama. Wengi wamebakwa na ku fii rwaa kwasababu ya kunywa mipombe bila staha na kituo. Sijawahi kuipenda pombe na haijanisaidia chochote zaidi kuwafilisi nliofahamiana nao kwa kuendekeza pombe.
Hata chakula ...ukila ukavimbiwa ...utajamba mbele ya watoto na wageni na kupoteza sifa za utu wako sio pombe tu....
 
Kwa wale wauzaji wa pombe ndio chanzo chao cha mkate wa kila siku.....
 
Back
Top Bottom