Picha: Rais Mstaafu Dk.Jakaya Kikwete akivuna mahindi shambani na Mke wake Salma Kikwete

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
c383c841b8da923c49e84a4403b2da63.jpg
9ed36c45bba7eeaf285940db140073d3.jpg
1505d4e8decc6795f572c355f4f8dc0c.jpg
c317aeda0cce416cde461ab9285d5b0f.jpg
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete, pichani akivuna mahindi shambani kwake na mke wake mama Salma Kikwete na kusema kuwa:

"Tunakamilisha msimu wa mavuno Kijijini Msoga, Chalinze. Umekuwa msimu mzuri", aliandika Rais mstaafu Kikwete kwenye ukurasa wake wa Twitter.
 
Watu bana.
Wanataka Jk aende kuvuna huku kavaa ndala au yeboyebo hahaahahhaha....

Kuna watu wanaheshimu viatu mpaka wanaamini haiwezekani mtu akaenda navyo shambani.

Viatu si kwa ajili ya kupendeza ni kwa ajili ya kulinda miguu
Kabisa..!
 
Back
Top Bottom