majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 463
- 649
Hili ni tabiri linalosemwa sena na hawa mashoga, kwamba mpaka mwisho wa mwaka 2050, basi mashoga watakuwa ndiyo watawala wa dunia!
Ni tishio sikatai, je yamaanisha vizazi vyetu vitatoweka?! Watoto watakuwa wakizalishwa na kutunzwa na wazazi wa jinsia moja? Je Itakuwa dunia ya namna gani hasa?!
Twajuwa wenzetu wanavyopenda kuonyesha mapenzi hadharani, itakuwaje kwetu sisi tusio mashoga?!
Ni hatari, ila tutaishi nawo kivipi? Hili swala zito sana, maana kiukweli hawa LBGT wanazidi kupata nguvu duniani, ni HATARIII..
Hebrew Israelites Two Gay Men claim LGBT will rule this world via YouTube
Najuwa wengi mtakuja kwa kuhamaki na kubisha ama kwa maneno ya hekima na kihenga au matusi na hoja zisizo na mshiko..
Karibuni..
19 ways Barack Obama changed the world on LGBT rights http://www.pinknews.co.uk/2017/01/2...ium=Twittermob&Twittermob&utm_campaign=PNMOBT
Gay men rule the world.
Super gays are taking over the world
Read more at Super gays are taking over the world - AfterEllen