Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aliwahi kuwaambia wafanyabiashara kwmba... Kama unajuwa kwamba unadaiwa na serikali ni bora ukalipe mwenyewe, natoa siku 7 kwa wadaiwa wote kulipa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mkuu wa wa Wilaya ya Chemba hivi karibuni ametoa mbuzi kwa mzazi aliyejeruhiwa kwa kupigwa na Mkuu huyo wa wilaya baada ya mtoto wake kupiga jiwe gari ya mkuu wa wilaya na kupasua kioo kama njia...
6 Reactions
84 Replies
7K Views
ZIMBABWE. Walioniteka hawakuja na Noah, Niuvumi na visanaga , ila kutekana tekana huu ni uhuni wa kishamba NILIVYOMUELEWA ROMA MKATOLIKI HAPA NI KWAMBA.. 1, Walioniteka hawakuja na Noah, ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nitoe rai kwa waziri na wizara husika, tume ya ushindani na kwa raisi kuangalia kwa ukaribu jambo hili. Nimefanya uchunguzi mdogo nimegundua madudu haya, uchunguzi wa kina utagundua mengi zaidi...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Habari za mchana? Yapata majira ya saa 15:40 mchana wa leo,mgahawa wa Cafe la Aziz,Arusha uliopo karibu na stendi ndogo ya Hiace umefungwa na TRA. Nilikuwa ndani ya mgahawa nikipata chakula...
10 Reactions
30 Replies
7K Views
Dhulhijja ni mwez wa 12 ktk mwaka wa kiiskam, alhamdulillah leo 23/ agusust/2017 milladiyya ni sawa na tarehe 2 dhulhijja 1438 hijiriyya (kwa kalenda ya kiislsm). Cku ya jana hadi kutimia cku...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Waombaji wa Mkopo kwa kujisajili kwa njia ya mtandao kuwa uwezekano mkubwa kukosa mkopo. 1- Waombaji wamekuwa wanalipa pesa kama inavyoelekwa kuipitia mpesa na tigo pesa bila ya mtandao wa bodi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna njia nyingi za usafiri miguu, gari, boti, ndege, baiskeli, pikipiki etc njia hizi za usafiri zote ni sawa kulingana na uhitaji kuna miji ambayo usafiri wa umma umeboresha kiasi kwamba...
15 Reactions
110 Replies
8K Views
Yaani kumbe kuna tofauti kubwa sana
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Haya ni maigizo ya aina yake. Vijana wanaoomba mikopo ya elimu ya juu wanatakiwa kuhakikiwa vyeti na RITA na gharama ya kuhakiki cheti ni Tshs. 3000/= Kiukweli serikali yetu imejaa kila aina ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Comrades.. Kumekuwa na kilio kikubwa cha Bomoabomoa ya nyumba za wananchi wa Eneo la Kimara Mwisho kuja hadi Maeneo ya Stop Over na Suka (along old and new Morogoro road).. Ni kilio...
8 Reactions
67 Replies
7K Views
wakuu tujuzane pambano la myweather litakua sangapi na ni channel gani italionesha please
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Wangeandika Ngao ya Jamii 2017/18 na si kutufedhehesha Watanzania kwa kiwango hiki.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa hakika nimekuwa nikijiuliza ni kwanini hatuioni hii kampuni ikipita ktk wasambazaji na wauzaji wa bidhaa yao ya konyagi kukamata bidhaa bandia? bidhaa bandia ya Konyagi inauzwa karibu ktk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Poleni sana watanzania wenzangu mliobomolewa nyumba zenu. Huyu mtu ni ROHO MUARIBIFU TENA MCHAFU. Mkikumbuka wewe ni mtu gani yani kaingia madarakani tu hata wiki mbili hazikupita kaanza kubomolea...
13 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa takribani siku tatu taarifa ya kushikiliwa kwa Ndege yetu aina ya Bombardier Q 400 huko nchini Canada imekuwa na mjadala mpana kiasi cha kusababisha sisi tunaopenda kupitia maandiko...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Mishahara yenu tayari nendeni mkabebe Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Mkazi wa Kijiji cha Kerende Kata ya Kemambo wilaya ya Tarime mkoani Mara, Mussa Martine 17 amekutwa amekufa katika kituo cha polisi cha Nyangoto wilayani humo kwa kile kinachodaiwa kujinyonga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati wengi wanahangaika na kumuona Niyonzima, Okwi na Ajibu, sisi wengine tupo kwa ajili ya kuangalia mustakabali wa vijana wa Taifa hili. Nimepita uwanjani hapo saa 6 kasoro robo, ni kwamba...
8 Reactions
128 Replies
8K Views
Nyumba zote kando ya reli hapa Tanga zinabomolewa kupisha reli. Ni kilio kitupu hapa. Zimewekewa X. Kila mmoja ataguswa!
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Back
Top Bottom