Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
ARV's ndio inayowapa kiburi binafsi mimi mwenyew nashangaaga kweli kuna watu niliaminishwa wa HIV kipindi hicho mm mdogo ila wapo hadi leo hii mm nimesha kuwa na bado wapo wanadunda mitaani tena wanaafya kushinda hata sisi tunaojiamini wazima...kama unaweza kuishi more than 30 yrs kwann waogope sasa....
Ukimwi hakuna acheni kupotoshwaNi ukweli kbx
Kwa sisi tulioona wagonjwa wa ukimwi walivokondeana, tuna uoga bado.Hawakuwahi kuona ukimwi ulivyokuwa ukidhalilisha wagonjwa kwa kuwapandisha mabega, Leo ukiugua kidogo tu unajiunga na mpango wa ARV hivyo mtu hadhaliliki sana kama zamani.
Kwa mimi ninayejua kuwa lazima nitakufa siuogopi, ninaogopa tu Zinaa.Kwa sisi tulioona wagonjwa wa ukimwi walivokondeana, tuna uoga bado.
Kama hili ni kweli basi na mimi sitojali.ARV's ndio inayowapa kiburi binafsi mimi mwenyew nashangaaga kweli kuna watu niliaminishwa wa HIV kipindi hicho mm mdogo ila wapo hadi leo hii mm nimesha kuwa na bado wapo wanadunda mitaani tena wanaafya kushinda hata sisi tunaojiamini wazima...kama unaweza kuishi more than 30 yrs kwann waogope sasa....
alafu pia maambukizi yamepungua sana maana kuwa unatumia yale madawa ya ARV's huwezi kuambukiza mtu zaidi utakaa na virus wako mwenyewe.