Ni Lutheran Church (KKKT) kupitia shirika la Good Samaritan Foundation. Serikali wao ni wadau wanaochangia gharama za uendeshaji.Wakuu ni kanisa la KKT au ni serikali? Au wamegawana hisa? Sielewi yani
So hawana hisa wala mamlaka na wafanyakazi? Kufukuza kutumbua ? Kulipa wakurugenzi , kuwachagua n.k Maana nadhani wanawalipa wao,Ni Lutheran Church (KKKT) kupitia shirika la Good Samaritan Foundation. Serikali wao ni wadau wanaochangia gharama za uendeshaji.
kumbe kuna majibu ulikuwa nayo mfukoni?So hawana hisa wala mamlaka na wafanyakazi? Kufukuza kutumbua ? Kulipa wakurugenzi , kuwachagua n.k Maana nadhani wanawalipa wao,
Sasa kama serikali inalipa wafanya kazi wako haswa hii serikali ya sasa lazima iwe na sauti sana kwa shirika siyo?
Au ikoje mkuu?
Majukumu ya KKKT ni yepi ktk hiyo Hospital?Kanisa la kkkt ndo mmiliki,
serikali wao wanagharamia uendeshaji kama sikosei,
mishahara,madawa ,miundombinu etc
Nadhani serikali haina sauti sana kwenye mambo ya utawala. Utawala unawekwa na Good Samariatan au KKKt sema serikali lazima nao wanakuwa wanakubaliana na utawala uliopoSo hawana hisa wala mamlaka na wafanyakazi? Kufukuza kutumbua ? Kulipa wakurugenzi , kuwachagua n.k Maana nadhani wanawalipa wao,
Sasa kama serikali inalipa wafanya kazi wako haswa hii serikali ya sasa lazima iwe na sauti sana kwa shirika siyo?
Au ikoje mkuu?
Sasa Mkuu Kama anayelipa ni serikali? Kazi za KKKT ni Nini?kumbe kuna majibu ulikuwa nayo mfukoni?
kupokea pesa za mauzo ya huduma na kuzitumia kuimarisha miradi mbalimbali ya kanisa
Mkuu unapotosha. Sio kwelikupokea pesa za mauzo ya huduma na kuzitumia kuimarisha miradi mbalimbali ya kanisa
wewe unaejua utueleze sasaMkuu unapotosha. Sio kweli
wewe unaejua utueleze sasaMkuu unapotosha. Sio kweli
Ni mali halali ya KKKT.Wakuu ni kanisa la KKT au ni serikali? Au wamegawana hisa? Sielewi yani
Sawa,kupokea pesa za mauzo ya huduma na kuzitumia kuimarisha miradi mbalimbali ya kanisa