Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiswahili chaleta tatizo zoezi la sensa Ngorongoro By aloyce temba - August, 2017 Na Paul Sarwatt, Ngorongoro. LUGHA ya Kiswahili imetajwa kama moja ya sababu zilizopelekea zoezi la sensa ya...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Msemo kutoka Korea ya Kasikazini,kuna ukweli wowote? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Jamani TFF ebu sasa hivi kuweni wabunifu basi,kwanza kabisa trophy(ngao/kombe) sio lazima kuliandika kwa kiingereza,kwani hii ni ligi ya waingereza?!yanayoweza kufanyika kwa lugha yetu basi...
0 Reactions
11 Replies
893 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, linaomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu kutokana na makosa ya maandishi yaliyoonekana kwenye utambulisho wa Ngao ya Jamii iliyotolewa Jumatano...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
#Mwaka 2009 aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Bukoba Kanali Albert Mnali aliwacharaza viboko waalimu wa shule tatu kule bukoba ambazo ni Katerero, Kanazi na Kasenene kwa kosa alilosema kuwa wamefelisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UPOTOSHAJI WA MITANDAO KUWA PADRE AOA WATOLEWA UFAFANUZI BAADA ya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari kupotosha kuwa Kanisa Katoliki limemfungisha ndoa padri...
13 Reactions
77 Replies
17K Views
MWANZONI mwa mwezi uliopita, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari akisema atashughulikia matukio ya mauaji ya raia yaliyokuwa yakiendelea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi Rais wetu kwa miaka hii miwili bado ana amini kwamba "Wanaosema maisha Magumu ni wale waliokuwa wapiga dili? , Na kweli dawa zimjaa mahospitalini? Ni kweli kabisa hapa tulipo ni pabaya zaidi...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma linamshikilia Paul Shishi (47), mkazi wa Nyabusuzi Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia 63 za Sh. 10,000 zenye thamani ya fedha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mi simooooooooo Eti huyu ni Le~Nani. Watu na historia zao bhana. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mimi sina tatizo binafsi na wewe maana hujanikosea lolote lile. Imenijia kukuandikia ujumbe huu kwa sababu nimesikia yaliyokupata,kwanza nikupe pole sana kiubinadamu inaumiza unaponyang'anywa au...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni hivi punde nimepishana na wagonjwa wanahitaji matibabu hapo Hospitalini lakini cha kushangaza wameambiwa waende kununua glovus kwanza ili wapewe tiba jiulize mtanzania. Hospitali hii huwa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wadau.. Naona siku hizi wa tz wengi wamekuwa wajasiriamali hasa hasa Instagram.. unakuta upo mkoani unaona bidhaa nzuri ipo mkoa mwingine.. Unashawishika kabisa kununua na kulipia hadi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kwa muda mrefu sasa nchi yetu imeendelea kukumbwa na majanja ya ajali ambazo zingeweza kuepukika iwapo tungekuwa na madereva makini barabarani. Miongoni mwa madereva wa mabasi na malori utimamu...
1 Reactions
0 Replies
752 Views
Wale wapenzi wa mambo ya kale, tuwe tunakutana hapa kuongelea mambo ya kale, na aima mbali mbali za maisha ambayo yanaelekea kufutika sasa. Ninaanza na hizi picha hapa.\ Mwenye lolote lingine...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Habari zenu familia ya JF. Mada hapo juu yajifafanua. Kumekuwa na ajali nyingi za pikipiki humu nchini na hutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na matumizi ya sehemu mbalimbali za...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu poleni kwa majukumu ya hapa na pale katika kujikwamua kiuchumi. Tafadhali kwa anayefahamu, naomba kujua utaratibu ukoje kwa sasa ili kupata fao la kujitoa NSSF! Je ni unaweza kuomba...
0 Reactions
47 Replies
12K Views
Salaam!. Ni gazeti lakini jitahidi usome kama umeshawahi kutana na tatizo hili kwenye malipo ya huduma (paybills) kupitia mitandao ya simu, case study M- PESA Ipo hivi, kila muamala wa mobile...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Neno usaliti limekuwa likitumika vibaya, na kupoteza maana halisi ya neno usaliti. Maana hasa ya neno usaliti ni kwenda kinyume na makubaliano ya jamii au kundi fulani. Neno usaliti pia linaweza...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…