Kweli siku hazigandi!

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,860
2,638
Hivi Rais wetu kwa miaka hii miwili bado ana amini kwamba "Wanaosema maisha Magumu ni wale waliokuwa wapiga dili? , Na kweli dawa zimjaa mahospitalini?

Ni kweli kabisa hapa tulipo ni pabaya zaidi kuliko tulivyokuwa hapo kabla.


Utawala huu Mungu anawaona.

"In politics, nothing happens by accident. If it happens, you can bet it was planned that way." by Franklin D. Roosevelt
 
Back
Top Bottom