JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma linamshikilia Paul Shishi (47), mkazi wa Nyabusuzi Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia 63 za Sh. 10,000 zenye thamani ya fedha...
Mimi sina tatizo binafsi na wewe maana hujanikosea lolote lile.
Imenijia kukuandikia ujumbe huu kwa sababu nimesikia yaliyokupata,kwanza nikupe pole sana kiubinadamu inaumiza unaponyang'anywa au...
Ni hivi punde nimepishana na wagonjwa wanahitaji matibabu hapo Hospitalini lakini cha kushangaza wameambiwa waende kununua glovus kwanza ili wapewe tiba jiulize mtanzania.
Hospitali hii huwa...
Habari wadau..
Naona siku hizi wa tz wengi wamekuwa wajasiriamali hasa hasa Instagram.. unakuta upo mkoani unaona bidhaa nzuri ipo mkoa mwingine.. Unashawishika kabisa kununua na kulipia hadi...
Ni kwa muda mrefu sasa nchi yetu imeendelea kukumbwa na majanja ya ajali ambazo zingeweza kuepukika iwapo tungekuwa na madereva makini barabarani. Miongoni mwa madereva wa mabasi na malori utimamu...
Wale wapenzi wa mambo ya kale, tuwe tunakutana hapa kuongelea mambo ya kale, na aima mbali mbali za maisha ambayo yanaelekea kufutika sasa.
Ninaanza na hizi picha hapa.\
Mwenye lolote lingine...
Habari zenu familia ya JF. Mada hapo juu yajifafanua. Kumekuwa na ajali nyingi za pikipiki humu nchini na hutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na matumizi ya sehemu mbalimbali za...
Wakuu poleni kwa majukumu ya hapa na pale katika kujikwamua kiuchumi.
Tafadhali kwa anayefahamu, naomba kujua utaratibu ukoje kwa sasa ili kupata fao la kujitoa NSSF!
Je ni unaweza kuomba...
Salaam!. Ni gazeti lakini jitahidi usome kama umeshawahi kutana na tatizo hili kwenye malipo ya huduma (paybills) kupitia mitandao ya simu, case study M- PESA
Ipo hivi, kila muamala wa mobile...
Neno usaliti limekuwa likitumika vibaya, na kupoteza maana halisi ya neno usaliti.
Maana hasa ya neno usaliti ni kwenda kinyume na makubaliano ya jamii au kundi fulani. Neno usaliti pia linaweza...
Maisha ya watanzania magumu sana kutokana na serikali iliyopo.
.Hakika msipofanya kitu katika kuuondoa huu utawala na vizazi vyake mtapata tabu sana sana nawaambia.
Mungu awaongoze na atende...
Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aliwahi kuwaambia wafanyabiashara kwmba...
Kama unajuwa kwamba unadaiwa na serikali ni bora ukalipe mwenyewe, natoa siku 7 kwa wadaiwa wote kulipa...
Mkuu wa wa Wilaya ya Chemba hivi karibuni ametoa mbuzi kwa mzazi aliyejeruhiwa kwa kupigwa na Mkuu huyo wa wilaya baada ya mtoto wake kupiga jiwe gari ya mkuu wa wilaya na kupasua kioo kama njia...
ZIMBABWE.
Walioniteka hawakuja na Noah, Niuvumi na visanaga , ila kutekana tekana huu ni uhuni wa kishamba
NILIVYOMUELEWA ROMA MKATOLIKI HAPA NI KWAMBA..
1, Walioniteka hawakuja na Noah, ni...
Nitoe rai kwa waziri na wizara husika, tume ya ushindani na kwa raisi kuangalia kwa ukaribu jambo hili.
Nimefanya uchunguzi mdogo nimegundua madudu haya, uchunguzi wa kina utagundua mengi zaidi...
Habari za mchana?
Yapata majira ya saa 15:40 mchana wa leo,mgahawa wa Cafe la Aziz,Arusha uliopo karibu na stendi ndogo ya Hiace umefungwa na TRA.
Nilikuwa ndani ya mgahawa nikipata chakula...
Dhulhijja ni mwez wa 12 ktk mwaka wa kiiskam, alhamdulillah leo 23/ agusust/2017 milladiyya ni sawa na tarehe 2 dhulhijja 1438 hijiriyya (kwa kalenda ya kiislsm). Cku ya jana hadi kutimia cku...
Waombaji wa Mkopo kwa kujisajili kwa njia ya mtandao kuwa uwezekano mkubwa kukosa mkopo.
1- Waombaji wamekuwa wanalipa pesa kama inavyoelekwa kuipitia mpesa na tigo pesa bila ya mtandao wa bodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.