Mliofanya malipo HESLEB kupitia mpesa njooni niwadokeze kidogo

Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,441
2,541
Salaam!. Ni gazeti lakini jitahidi usome kama umeshawahi kutana na tatizo hili kwenye malipo ya huduma (paybills) kupitia mitandao ya simu, case study M- PESA

Ipo hivi, kila muamala wa mobile money unapofanywa unakuwa katika hali nne ( 4status)

A. Successful
B. declined (cancelled)
C. Expired
D. Pending (authorized )

A. Successful, Hapo haina shida wote tunajua kuwa muamala umekamilika 100% mtumaji katuma, mpokeaji kapokea

B. Decline, pia haina shida saana sema mtumaji katuma ila mpokeaji hajapokea kwa kuwa kuna tatizo either kwa mtumaji mf. Hana salio la kutosha au kaingiza namba isiyosahihi yaani zimezid namba kumi. Pia kwa upande wa pili yaani receiver anaweza kuwa nitatizo mfano. Receiver amefikia ukomo wa akaunti yake kupokea miamala kwa siku hiyo (maximum daily limit transaction). Status hii hurudisha pesa ya mteja mda huo huo na ujumbe unapokelewa mda huo huo"transaction is cancelled"

C. Expired, hapa muamala unakuwa umefanikiwa kutoka kwa mtumaji lakini kwa mpokeaji kuna mawili 1. Anaweza akawa amepokea pesa lakini kachelewa kuitoa pesa kwa wakati ,mfano mzuri ukiwa mtumiaji wa m-pesa ukamtumia mteja wa tigo bila kuchagua namba 5 ile option ya kutuma mitandao mingine, mpokeaji hupokea pesa kwa njia ya massage na hutakiwa apeleke ile massage kwa wakala na ampe wakala namba za siri zilizotumwa katika ile massage na wakala kumkabidhi pesa mteja hivyo basi iwapo mteja hata mpelekea wakala ili atoe ile pesa, pesa hiyo huwa inakaa kwa siku 7 na ku-expire hivyo hurudi kwa mtumaji. 2.iwapo pesa itakaa katika authorized status(ntaielezea) kwa zaidi ya siku 5 pesa hiyo huwa ina-expire na kurudi kwa mtumaji. Hii pia siyo sumbufu sanaa kama pending authorized.

D. Pending( authorized) hii ndo shida na ndo inaumiza wateja wa mobile money. Mtumaji anatuma pesa ila hapokei massage ya kuthibitisha wala kubatilisha(cancelled) ukituma pesa hutaona ujumbe wowote hadi uangalie salio ndo ujue umekatwa au upige huduma kwa wateja ndo ujue kama pesa yako ipo hewani (pending) ,mbaya zaidi mtumaji anaweza kutuma pesa na kupokea ujumbe wa transaction is cancelled lakini ukawa pending na kibaya zaidi na zaidi unaweza kutuma pesa hata mara tatu au nne na ukawa unapokea ujumbe transaction is cancelled kumbe miamala yote ipo hewani na salio lako limeisha hapa ndo utachanganyikiwa. Nia yako kutuma 20,000/= utajikuta umetuma 100,000/= kutokujua na pesa zote zipo hewani. Tatizo hili husababishwa na baadhi ya sababu 1.mpokeaji anapofunga akaunti yake(frozen account) mfano kwa muda huu bodi ya mikopo inapokea pesa nyingi za maombi ya mikopo hivyo account ya bodi hufurika miamala na kuhitaji ipunguzwe ili kuruhusu pesa zinazoingia kupata nafasi. ieleweke kwamba akaunti za kampuni au taasisi zinazotumia mobile transactions hufikaga kikomo na hivyo hufungwa kwa muda ili kuhamisha hizo pesa kwenda bank account ili kuzipa nafasi pesa nyingine kuingia. kwa muda ambao account imefungwa miamala yote inayoendelea kutumwa hugandishwa hewani(pending) na baada ya kukamilisha mchakato hufunguliwa na miamala kuanza kuingia kama kawaida. Sababu hii ni mara kumi kwa kuwa tatizo huwa halichukui muda mrefu sana na baada ya muda kidogo kama lisaa au 2hrs miamala inakamilika.
2. Sababu ya pili ni sababu ya kimtandao ambayo mkipiga simu watoa huduma kwa wateja huwaelezea, hapa system huyumba kidogo na kusababisha pesa nyingi kubaki hewani mara nyingi watu wa IT wanakuwa hawajui kama kuna tatizo hadi pale simu za wateja zinapokuwa nyingi kuhusiana na tatizo hilo na ndipo hapa huanza kufanyiwa kazi. Mara nyingi kuyumba kwa system hakuathiri miamala ya ndani ya mtandao husika(internal mobile money transfer transactions) namaanisha mfano mteja wa voda kumtumia mteja mwingine wa voda au mteja wa voda kutoa kwa wakala wa voda.isipokuwa miamala inayoathiliwa ni ile ya malipo (paybills utilities) mfano nunua luku,tuma pesa bank, tuma pesa mitandao mingine (mobile money interoperability )lipia nacte, heslb n.k n.k.. Wataalam wa IT wakianza kushugulikia tatizo hili inategemea wameanza na paybill gani mfano wana clear banking transactions na kumalizia na nacte so miamala ya bank itawahi zaidi ya miamala mingine yote. Hutegemea wingi wa miamala ili wamalize mapema. Lakini muamala usipofanyiwa kazi zaidi ya siku 5 hurejea kwa mteja.

Turudi kwenye kesi yako mkuu. Watoa huduma hukujibu kuna tatizo la mtandao kwa kuwa wao hawana uwezo wa kukusaidia kwa kuwa tatizo lipo nje ya uwezo wao. Mbaya zaidi muamala ukiwa pending hauna uwezo wa kuu-force uende au ku-cancel urudi kwa mtumaji hivyo basi hauna budi kusubiria wahusika wafanye kazi yao ndio tatizo liwe cleared.

Mwisho kabisa, wateja wanalalamika kwanini hamkutoa taarifa mapema. ieleweke kwamba tatizo huwa haligunduliki mapema ndo maana simu zikiwa nyingi kuhusiana na tatizo hili wahusika huangalia nini chanzo (via sample numbers) na kuanza kufanyia kazi.

Nakaribisha maswali.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.

mod. Saidia editing ya heading ni HESLB na sio HESLEB

Machache umepatia, ila mengine umeongopa. Siyo kweli kuwa account ya malipo ikizidiwa inakuwa frozen, frozen itawekwa endapo tu kama kuna internal syterm fault zinazofanya watu walipie malipo ila pesa hazifiki upande Wa pili, Kwa hiyo hulazimika kuifreeze Kwa muda ili kulekebisha tatizo, na baadaye hufunguliwa, na pili siyo kweli akaunti ikiwa frozen hupelekea miamala kuwa hewani, ikiwa frozen miamala ukifanya automatically inakuwa cancelled na pesa inaludi Kwa Mteja, na tatu siyo kweli kuwa miamala ikiwa hewani(authorised) basi hauwezi kuukamilisha uende upande Wa pili. Au kuucancel pesa iludi Kwa Mteja, yote yanawezekana, ila tu lazima mfanye mawasiliano na watu Wa upande Wa pili kuangalia ni miamala upi umepita upi bado ndipo uchukue hatua ama ya kuukamilisha au kuusitisha, hivyo usionge kitu usicho na uhakika nacho au ukaongea Kwa niaba ya kampuni. Ni vyema uwasiliane na kampuni husika, watakuelewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom