Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Jamani TFF ebu sasa hivi kuweni wabunifu basi,kwanza kabisa trophy(ngao/kombe) sio lazima kuliandika kwa kiingereza,kwani hii ni ligi ya waingereza?!yanayoweza kufanyika kwa lugha yetu basi tutumie lugha yetu!!Pili,wale wadada wanaosimama pale kwenye kombe sio lazima tuige kama ulaya eti tuweke 'vimodo' tunaweza weka dada zetu wa kibantu wenye 'chura' wao,na hii itaongeza ladha zaidi kwa sisi wapenda soka.Nawasilisha.
Cc:Karia
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc:Karia
Sent using Jamii Forums mobile app