Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwa sielewi ni kwanini uongozi wa chuo UDOM, uko hivi huu ni ukatili mkubwa chuo hiki kinao ufanya ilikuwa ni tarehe 24 ya mwezi wa sita ambapo, wanafunzi ambao, pesa zao zilichelewa toka bodi...
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Asalam Ndugu wanafamilia wenzangu wa Jf kutokana na kutokuwepo kwa muda sasa jukwaani kutokana na majukum yaliyokuwa yananikabili. Napenda kuchukua fursa hii kutoa ushauri wangu kwa uongozi wa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwakweli Tanzania bado sana tumekimbilia tu digital wakati vitu atuviwezi tulianza na star times ikawa picha inaganda hata kipindi cha jua wakaja azam tukazani itakuwa bora kumbe wapi ilinyesha...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Wakuu naomba nieleweshwe kuhusu mambo haya yanayohusu vituo vya kulelea watoto yatima 1)Utaratibu gani unafanyika ili mtoto apokelewe kwenye kituo cha kulelea watoto yatima 2)Je huyo mtoto...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Wadau heshima kwenu. Mbinu za kupata vyanzo vipya vya mapato kwenye Serikali ya Awamu ya Tano vinazalisha kero katika kila sekta, vinaambatana na unyanyasaji na kuongeza machungu ya maisha kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni zile za tanzanite za rangi ya blue hazitoi hela wala nini,wateja wameambiwa wapange foleni wachukue kwa teller ndani yaani ni shida na hasa huu ni mwisho wa mwezi kwa watumishi wengi na hata...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Star Times, Leo Liao alisema kwa sasa kampuni yake haipati faida kutokana na hali ngumu ya uchumi iliyosababisha asilimia 50 ya wateja wake kushindwa kulipia gharama za...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Hello JF, Ningependa kutoa wazo ,wanafunzi/vyuo vyetu vya masomo ya kusanifu majengo , wawe wanapewa 'competition',ya kudesign majengo Atakayeibuka kidedea,mchoro wake utumike kwenye kupanga...
1 Reactions
2 Replies
804 Views
Wana bodi naomba tujuzane juu ya uhusiano wa kikazi kati ya Yono Auction Mart na TRA unatokeaje na wapi? Kwani sasa ni miaka mingi watu hao wanashirikiana sasa tujuzane ni system gani TRA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana mchana niliona basi la Taqwa likiwa limekamatwa na maafisa wa ZRA Zambia Revenue Authorty hapa Kitwe. Walishusha viroba vingi sana toka ndani ya basi na kwenye buti. Baadhi ya wasafiri...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Ninawasalimu wanajamvi wote, Leo asubihi nimetembelea ofisi za Star Times baada ya king'amuzi changu kukata Chaneli za Nyumbani jana. Naomba niwathibitishie kuwa Star Times...
2 Reactions
68 Replies
9K Views
Kulikuwa na mjadala safi na wenye ufahamu sahihi. Nitasema ukweli daima uongo kwangu mwiko. Karibu....... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi Leo nilikua eneo la kibaigwa kwenye mihangaiko ya maisha, nikapata nafasi kujua bei za mazao pale kama mchuuzi. Baadhi ya wachuuzi wamesema bei ya mbaazi imeshuka toka 2500...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Nafanya tafiti binafsi naomba kufahamu kwa majina waliothibitika na kufungwa kwa makosa ya rushwa. Iwe ni rushwa hasa. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza,kuna agency yoyote inayoshughulikia copyrights za miziki ya wasanii wa kibongo? Napenda kazi zao ziheshimiwe lakini pia sitaki yanikute ya Tigo,baada ya Ay na MwaFA kuleta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KESI ya kudaiwa kughushi mukhtasari wa serikali ya mtaa wa Levolosi iliyofunguliwa na mkuu wa wilaya mstaafu nchini,Dahn Makanga dhidi ya Mathew Mollel imekwama kuendelea jana katika mahakama ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaofanya kazi maeneo wanayotoka mfano Wilaya, Mkoa watakuwa wanajua adha, shida au changamoto za kufanya kazi maeneo ya nyumbani, maeneo ambayo una ndugu, marafiki, jamaa na wengineo...
1 Reactions
6 Replies
928 Views
Binafsi sioni kama mnachokifanya kimantiki na kiteknohama ni sawa. Ukiona watu wamekuja kwa hiyari kulipia Leseni za biashara ni watu wa kuthaminiwa na wa kujaliwa maana wanawaongezea mapato...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Mi ninataka niwe nalipia hata kwa miezi sita kifurushi cha ving'amuzi kama cha startimes ili kuepuka usumbufu wa kila mwezi kinakata unaanza kukimbizana kulipia na wakati mwingine kinakukuta huna...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Back
Top Bottom