Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nimetembelea Vetrix kwa bwana mmoja mfuga nyoka, jamaa ana varieties of snakes na wapo wa utalii na waliokomaa huwavuna kwa ajili ya chakula, dawa na uuzaji wa sumu. Basi tuliingia mgahawa...
1 Reactions
85 Replies
24K Views
RAIS Paul Kagame wa Rwanda amemteua Mtanzania, Profesa Silas Rwakabamba kuwa Waziri wa Miundombinu wa nchi hiyo katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika Jumatatu iliyopita...
20 Reactions
463 Replies
62K Views
SERIKALI imetenga Sh. bilioni 2.3 kwa ajili ya ujenzi wa maabara ya kisasa ya nyuklia katika Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC). Aidha, vifaa vyenye thamani ya Sh. bilioni 11.5 kwa ajili ya maabara...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu wawili wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumteka nyara Albino wilayani Mwanga, Kilimanjaro, RPC Hamis Issah amesema.
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Nimekumbuka kisa cha mfalme mmoja wa nchi iliyo chini ya jua ambaye alipenda sana kuvaa na kusifiwa kwa mavazi aliyokuwa akivaa. mfalme alitengenezewa mavazi yenye rangi mbalimbali kama vile...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nianze kwa kumshukuru mh rais kwa kunipatia nafasi hii ya kuwa hapa nilipo.maana bila yeye ningekuwa wapi mimi? namshukuru sana na kwa kweli anisaidie nidumu muda mrefu. rais huyu kama wale...
7 Reactions
65 Replies
6K Views
Kutokana na taarifa aliyotolewa na tundu Lisu jana, kama Watanzania na wenye nchi hii tunamtaka Rais JPm awajibike kama anavyowawajibisha wengine wakikosea kwenye utendaji kazi zao. Kuna watu...
20 Reactions
98 Replies
11K Views
Tanga. Bomoabomoa iliyoendeshwa jijini Dar es Salaam na Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco), sasa inahamia Tanga ambako zaidi ya nyumba 100 zikiwamo hoteli, maghala na makazi zitabomolewa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali iache siasa Ili kutatua mgogoro wa masoko katika eneo hilo la Mwanjelwa, vongozi wanatakiwa kuacha siasa na kusimamia sheria. Soko la Sido sio rasmi, lilianzishwa baada ya kuungua kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Madini: tukiwachekea nyani, tutavuna mabua By ezekiel kamwaga Madini: tukiwachekea nyani, tutavuna mabua MIAKA minne iliyopita, mimi na waandishi wengine wawili, Paul Maregesi (Mtanzania) na...
2 Reactions
0 Replies
806 Views
Mkemia kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Domician Dominic ameieleza Mahakama ya Kisutu leo August 23, 2017 kuwa dawa za kulevya (Benzodiazepines) alizobainika anatumia mfanyabiashara Yusuf...
3 Reactions
116 Replies
11K Views
Kiswahili chaleta tatizo zoezi la sensa Ngorongoro By aloyce temba - August, 2017 Na Paul Sarwatt, Ngorongoro. LUGHA ya Kiswahili imetajwa kama moja ya sababu zilizopelekea zoezi la sensa ya...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Msemo kutoka Korea ya Kasikazini,kuna ukweli wowote? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Jamani TFF ebu sasa hivi kuweni wabunifu basi,kwanza kabisa trophy(ngao/kombe) sio lazima kuliandika kwa kiingereza,kwani hii ni ligi ya waingereza?!yanayoweza kufanyika kwa lugha yetu basi...
0 Reactions
11 Replies
893 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, linaomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu kutokana na makosa ya maandishi yaliyoonekana kwenye utambulisho wa Ngao ya Jamii iliyotolewa Jumatano...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
#Mwaka 2009 aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Bukoba Kanali Albert Mnali aliwacharaza viboko waalimu wa shule tatu kule bukoba ambazo ni Katerero, Kanazi na Kasenene kwa kosa alilosema kuwa wamefelisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UPOTOSHAJI WA MITANDAO KUWA PADRE AOA WATOLEWA UFAFANUZI BAADA ya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari kupotosha kuwa Kanisa Katoliki limemfungisha ndoa padri...
13 Reactions
77 Replies
17K Views
MWANZONI mwa mwezi uliopita, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari akisema atashughulikia matukio ya mauaji ya raia yaliyokuwa yakiendelea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi Rais wetu kwa miaka hii miwili bado ana amini kwamba "Wanaosema maisha Magumu ni wale waliokuwa wapiga dili? , Na kweli dawa zimjaa mahospitalini? Ni kweli kabisa hapa tulipo ni pabaya zaidi...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Back
Top Bottom