Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mawazo ya wenye bidii huuelekea utajiri tu... Mithali 21:5 Nafsi ya mtu mbaya hutaman uovu... Mithali 21:10 Mtu apendae anasa atakuwa maskini... Mithali 21:17 Azibaye masikio yake asisikie...
5 Reactions
4 Replies
899 Views
Elimu ya kidigitali. Mambo meengi yamebadilika.. Mwee!! Akichelewa kudamka asubuhi akaachwa na basi la shule, naadhibiwa mimi.. Natoa pesa yangu mfukoni ili apande bodaboda awahi vipindi.. Tena...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapo kabla tuliishi nae kama rafiki japo sio wale wakushibana isipokuwa wa salam tu na kila mtu kufuata yake anayojua yeye. Mazingira tunayokutana yanatufanya kuwa rafiki wa salam tu sijawahi...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Huwezi kupata neno bora zaidi la kuwaelezea watu hawa wanaokula nyama ya binadamu wenzao tunawashangaa sana dini ya mashetani wanapokula nyama ya mtu kwenye ibada zao, lakini hawa ni cha mtoto...
12 Reactions
119 Replies
21K Views
Nikiangalia juhudi za huyu kijana anaitwa Ruge Mtahabwa katika kuunganisha Taifa na hasa baada ya uchaguzi uliokuwa na vishindo na ambao haujawahi kushuhudiwa hapa nchini, na zaidi, juhudi zake...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
*stress ni nini?* *Ni pale alikiba anapotoa seduce me, afu wasafi wanaizima na kuipoteza kabisaa na ngoma kali ya zilipendwa* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] #WCBFORLIFE Team Nyumbu ruksaa povuu
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Am just watching the hot discusion of supreme court of kenya on issue of presidential election but am confusing why the lawyers of elector commision are afraiding or they dont like their system...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Wakuu nina bonge la uzi ila nikirusha itajulikana ni mimi nimetoa. Je kuna uwezekano nikampa mtu arushe badala yangu? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
783 Views
Nimetembea Kwa Masonara Wanasema Kopa Haiyeyuki. Labda Hawana Vifaa Vya Kuyeyushia. Nilinunua Bangili Kwa Masai Sasa Nataka Nitengeneze Pete Fulani Hivi Ya Kidini. Wapi Naenda?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Lowassa ni mwanasiasa mkongwe na ametumikia taifa katika nyadhifa mbali mbali na baadae kuamia chama cha CHADEMA ili agombee urais. Namtakia maisha mema. Chukua fursa hii kumpa neno walau moja...
12 Reactions
70 Replies
14K Views
Habari zilizopo ni kwamba serikali imelipwa jumla ya Tsh Bilioni 19.5 kamili kama gawio/rejesho lake toka bank ya CRDB... Pesa hiyo serikali iliipa bank hiyo mwaka 1994 ili kuinisuru isifilisike...
11 Reactions
52 Replies
4K Views
kwanza niweke tahadhari ya picha! Baadhi zitakuwa zinatisha Inteligensia ya imani ya dini ni dhana ya kushangaza mno, pengine baadhi ya maono na mitazamo yake vinaacha maswali mengi kuliko majibu...
14 Reactions
94 Replies
17K Views
Hapa nacheki mahakama ya rufaa kenya live, hvi mahakama zetu zinaweza jifunza toka kenya kuweka mambo live ITV TBC na zinginezo. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
17 Replies
3K Views
habari wadau.. nikikumbuka mhongo alivyokuwa anatamba na kuringa baada ya kupewa uwaziri wa nishati.. nimejifunza ringa ukiwa na ajira ya kwako mwenyewe ila hizi za kuajiriwa inabidi uwe na...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
$40m for Dar civil service monitoring project BY JOSEPH MWAMUNYANGE Special Correspondent THE EAST AFRICAN Officials from Tanzanian ministries, departments and agencies are to be...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilisikia mabasi yangeanza kutoa ticket za efd week chache zilizopita.. But nmeshangaa leo nmepewa ticket za karatasi. Wajuzi mtuambie what happened?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenye ujuzi anijuze hapo Sifa Muda gani inachukua hadi kutolewa Requirements Kama mtu ana maelezo yote juu ya hayo anijuze tafadhari
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Aisee sasa nmekubali moto wa kiba ni hatari, Mondi kaona peke yake hatamshinda, baada ya alikiba kutoa nyimbo ambayo hadhi yake siyo ya nchi hii inayoenda kwa jina la Seduse me sasa team nzima ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Ningependa kuchuma fedha kidogo kutoka katika bifu hili la hizi team mbili kwa kuandaa show itakayowaleta pamoja hawa ili washindane katika kuimba nyimbo za idols wao huku nikicharge pesa...
0 Reactions
2 Replies
953 Views
Wakuu Salaam sanaa bhana hawa jamaa wakati wanaanza waliturubuni sanaa natukaona hapa tumepata suluisho la matatizo yetu ktk mitandao Lakini kadri siku zinavyo songa mbele wamelewa sifa na...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…