Uumbaji Huu umenishangaza sana.

Uumbaji Huu umenishangaza sana.

Internal

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
3,579
Reaction score
3,926
Hapo kabla tuliishi nae kama rafiki japo sio wale wakushibana isipokuwa wa salam tu na kila mtu kufuata yake anayojua yeye.
Mazingira tunayokutana yanatufanya kuwa rafiki wa salam tu sijawahi kumuwazia hapo kabla kwenye ralation yeyote ya kimapenzi kwani aina ya mabinti wanaonivutia kuwa nao kama wapenzi yeye hana vigezo vyote kwa ujumla.

Huyu binti nilimuweka kwenye fungu la mwisho kabsa(upande wa kumueleza hisia zangu za kimapenzi) sijawahi kuwaza hapo kabla suala hilo, nilimuona kama binti ambae hatuendani kabsa pia nilimuheshimu sana, ukizingatia hatukuwa na ukaribu sana. Kiujumla hana kile ninachovutiwa nacho bint awe nacho ili nimfanye kuwa mpenzi.

Chaajabu na kinachonishangaza leo mpaka naandaka uzi huu ni jinsi huyo binti ambavyo takribani wiki moja sasa alivyoumbwa upya kwenye bongo zangu.

Namuona mrembo kuliko mabinti wote ninaopishana nao mtaani, lakini ukweli kwa jinsi alivyo(sio mbaya kisura) sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti type yake mpaka hapa nilipofikia kwani hisia zangu haziko interest na wao.

Ameumbwa upya nashindwa kuelewa hii sayansi niyaaina gani itakayonipeleka nianzishe page mpya kabsa kwenye maisha yangu.

Hapo kabla tulikuwa tukisalimiana vizur lakini toka nianze kumuona mpya salamu sasa inaleta shida kwani kila nikipeleka salamu naangaliwa kwa kupepesa macho nahisi kilichobadilka kwake na mimi ameona niko tofaut.

Huu uumbaji ni wa namna gani mbona unanipa maswali mengi ambayo hayajibiki?? Nafikiri kuanza kueleza hisia ila naogopa kumpotezea muda kwani alivyo najua hatutadumu kwenye hio relation.

Nimewaza kwa sauti tu huenda kuna kipya kwa wakubwa nisichojua kuhusu huu uumbaji.
 
Mwaga sera tu jombaa
Sipendi kucheza na hisia za mtu maana haya mambo yanahitaji usiriazi flani na sio mhemko tu mkuu.
Ila nikishindwa kufikia kilichojichora kichwani mkuu nitamwaga. Shukrani kwa ushauri
 
Huwa inatokea mjomba.That is real love. Ulichotegemea ni yeye ajibebishe kwako na hakufanya,labda ukadhani akuonyeshee ana mtu hukumuona. Kwahiyo hapo vigezo na masharti vimelingana.
Mapenzi siyo 2+2=4,hapana inaweza kuwa hata 22. Oa kabisa hapo maana dodo likiokotwa hilo huji kuliona tena..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujala au kunywa chochote alichokiandaa yeye? Nasikia huwa wanachuja chai kwa chupi chafu, ukinywa unamuona yeye tu! Au nyama inalazwa kwenye mtaro wa makinikia, asubuhi ukila tu baaasi...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Huwa inatokea mjomba.That is real love. Ulichotegemea ni yeye ajibebishe kwako na hakufanya,labda ukadhani akuonyeshee ana mtu hukumuona. Kwahiyo hapo vigezo na masharti vimelingana.
Mapenzi siyo 2+2=4,hapana inaweza kuwa hata 22. Oa kabisa hapo maana dodo likiokotwa hilo huji kuliona tena..

Sent using Jamii Forums mobile app
Something new gained here
 
Hujala au kunywa chochote alichokiandaa yeye? Nasikia huwa wanachuja chai kwa chupi chafu, ukinywa unamuona yeye tu! Au nyama inalazwa kwenye mtaro wa makinikia, asubuhi ukila tu baaasi...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Hahaaa dah ay bhana but sijala chochote ila nilishare tu mgorol milipewa nilikuwa najisikia bard kwel nikahurumiwa toka siku hio nimemuona mwingine sio wazamani tena.
 
Siku zote nakukumbusha anayeanza kumtongoza mwenzake ni Mwanamke. Dume kazi yake ni kumalizia tu vile vigezo vilivyojitosheleza.

Hakuna limbwata, lugha laini, kurembua macho
Kukutingishia makalio, limbwata tosha malizia mkulu ukate kitu yako na yake.yawezekana vikikutana vikagandana daima.
 
Back
Top Bottom