Baada ya kelele nyingi kuhusu ubia wake na kampuni tata ya uwakili ywnye kuhusishwa na ufisadi mkubwa hapa nchini RJK aliamua kujiunga na kampuni hii ya GRK kama mbia(partner) hii ni kampuni ya...
DODOSO LA MGENI: JE, NI SAHIHI KUUZA FEDHA KAMA CHENCHI Tz!?
Habarini waungwana wa JF?, natumani mu wazima wa afya, kwa ndugu zangu wagonjwa poleni na Mungu awaponye.
Bila kupoteza muda niruke...
Mwl Mkuu shule ya msingi Ipeja wilaya ya Kaliua na mtendaji wa kijiji waomba na kupokea rushwa ya sh.mil moja kutoka kwa mzazi wa mtoto anayeitwa YUNGE JAGINA MADOGOSA,ambaye ana mimba na ni...
Hi Jf.Jana jumamosi shirika moja lilifadhili mtihani wa interview ya ukalimani huko kilindi mabalanga.Mzungu alitaka mkalimani katika shirika lake LA upandaji miti akakusanya vijana akawapa...
TANZANIA YETU HIVI SASA IMEINGILIWA NA WAVAMIZI WANAOTAFUTA KUHODHI UCHUMI NA RASILIMALI ZETU KWA KUSHIRIKIANA NA WANASIASA NA WANASHERIA "PUPPETS" WASIO NA MAPENZI MEMA NA NCHI HII.
Watu hawa...
Halmashauri ya serikali ya kijiji cha Semeni kata ya Mtina wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,imemkataa na imeazimia kumfukuza kazi afisa mtendaji wa kijiji hicho Bwana.Edwin Mlanda na kupeleka...
Shule ya msingi Mlimwa B iliyoko manispaa ya Dodoma haina ofisi za walimu huku zaidi ya walimu 30 wakilazimika kugeuza madarasa kuwa sehemu ya kufanyia kazi zao hali inayowaondolea umakini kwa...
Wakuu,
Kwa sasa naishi Dar lakini ndoto yangu ni kwenda kuishi Mbeya na kufanya kazi ndani ya NGO zilizopo mkoani Mbeya kwa mwenye information ya majina na idadi za NGO zilizopo Mbeya.
Naomba...
Wakati wa kukukamata au ukifikishwa kituoni polisi huwa wana maneno mabovu sana...
Utasikia "wewe unajidai wakati ni mfanyakazi wa Mwananchi Comnunications..."
Au unafikiri kwa kuwa wewe ni...
Hello Wakuu ndani ya GT ni Jumapili moja maridhawa kabisa pengine ya mwisho kabisa kwa mwezi huu August...
Wakuu awali ya yote Mimi sio mwanasheria sisomi sheria na wala sina interest na sijawahi...
Tanzania imeishukuru CUBA kwa kutambua na kuthamini mchango uliotolewa na mashujaa wakombozi wa bara la Afrika kwa kujenga mnara wa kumbukumbu nchini humo.
Habari za majukumu familia ya JF. Niende kwenye mada hapo juu, kila jambo lina faida na hasara. Mfano uendeshaji wa baiskeli una faida na madhara madogo pia. Pikipiki pia zina madhara hasa...
WALIMU, Wanafunzi na Wafanyakazi katika shule mbalimbali wametakiwa kuzingatia nidhamu shuleni ili kuweza kuchochea maendeleo ya ufaulu kwenye shule zao.Wito ulitolewa jana na Mkuu wa Shule ya...
Kuna vijana wanaitwa kikosi kazi.
Vijana hawa wamekuwa wakishirikiana na wenyekiti wa serikali za mitaa kuuza viwanja vya watu.
Wanachofanya wanangalia wale walioweka vibanda kulinda nyumba...
Jana nilivofika kibaruani asubuhi mjengoni baada ya kusain then maongez na colleagues kidogo... Kuna mzenji afisa mwenzangu huwa tunapenda kumtania kwamba yeye kwa mkewe ni bwege sababu huwa...
Habari wadau wote wa jamii forum, nipende kutoa pole kwa wale wote ama ndugu ama jamaa waliokumbwa na kadhia hii ya bomoa bomoa.
Binafsi sielewi chochote kuhusu sheria, hasa hizi za barabara...
Katika maisha , unapoanza kufanikiwa katika kila nyanja,
Nakuhakikishia shetani atakuja na kila aina ya uharibifu, Hasa kupitia kwa watu wako wa karibu.
Ataleta majaribu kutoka pande zote,
Kila...