MulRZGM
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 1,015
- 748
Jana nilivofika kibaruani asubuhi mjengoni baada ya kusain then maongez na colleagues kidogo... Kuna mzenji afisa mwenzangu huwa tunapenda kumtania kwamba yeye kwa mkewe ni bwege sababu huwa anamfanyia mkewe kila kitu ilhal mke wake yeye ni kula, kunywa, choon, kuvaa na kupatiwa chochote anachohitaji....
Yaan mwanamke hapiki, hafui, wala kufanya lolote lile,
Sasa jana ile nilimuuliza hivi ni kweli anavyotuambiaga hivyo! Akadai ni kawaida kwa mwanaume wa kiislam akishaoa tu, yeye (mwanaume) ndiyo ana jukumu la kumtunza mwanamke ikiwa ni pamoja na kufanya kazi zote za ndan na mambo mengine ikiwemo kwenda sokon na kupika....
Ndugu zangu waislam ni kweli hii?
Sent using Jamii Forums mobile app