Kwakweli nimeguswa na demokrasia nayoiona Kenya hivi sasa uchaguzi wq Kenya unachalengiwa live toka mahakamani na unaonyeshwa na karibu televisheni zote kubwa.
Hongereni wakenya.
17/10/2012
Juhudi za chini chini zimeanza kufanywa na baadhi ya Watanzania ambao hawajaridhika kuwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alifariki kifo cha kawaida.
Wito sasa umeanza...
Moshi. Wakati kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro kikilalamika kupoteza asilimia 30 ya soko lake kwa madai bidhaa hiyo kuingizwa nchini kimagendo kutoka nje...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) imesema imeandaa miradi ya kuboresha upatikanaji wa maji nchini na uondoaji wa maji taka.
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa...
Kipindi kinaendelea TBC1, amewaonyesha 'live' askari wa Makambako - Iringa wanavyochukua rushwa na akasema hiyo ni awamu ya kwanza na watanzania wasubiri awamu ya pili, akiendelea kuwaanika...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mhe Paul Makonda amefurahishwa na ushindani wa kimuziki baina ya Diamond Platnumz na Alikiba kwa kusema unachangamsha muziki wetu huku akiwaonya kuwa kazi zao lazima...
Mimi ni mteja wa TANESCO kwa muda mrefu. Mwezi huu tarehe 19/8/17 nilinunua umeme na makato yake yakawa hivi. Ambapo nilikatwa TAX tu.
Leo tarehe 29/8/17 nimenunua tena umeme nikaona kuna...
Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Khairat Omary, ameishtaki Hospitali ya Kairuki na kudai fidia ya Sh milioni 155 kwa kumsababishia matatizo katika mfuko wa uzazi yaliyofanya aondolewe kizazi...
Hali ya Huduma za Afya huweza kutumika kama kipimo cha maendeleo ya nchi. Kama taifa, Tanzania tumekuwa tukihangaika kuweza kuboresha hali ya huduma za Afya nchini.
Mnamo 2015, mara tu baada ya...
Unaitwa nani?
Una mademu wangapi?
Utakufa lini
Ulizaliwa lini
Paka ana umbo gani
Unaijua sura yako
Umeoa
Mama yako yupo
Unaoga mara ngapi
We na baba yako mna undugu
Hatari sana kujibu utajibu...
Kwa takribani wiki mbili sasa moja kati ya habari iliyovuma ni zoezi ubomoaji wa nyumba zinazodaiwa kujengwa ndani ya hifadhi ya barabara
Zoezi La ubomoaji nyumba siyo geni nchini hata hivyo...
Wafanyakazi walalama njaa kali na manyanyaso kutoka ngazi za juu posho zatolewa kwa Upendeleo. Wafanyakazi ngazi ya chini posho zao zimekatwa na wakati wao ndio wanaoliingizia pesa sh*r*k*
Sent...
Habari wadau natumai mpo salama,
Week 3 zilizopita nilipata wasaa wa kutembelea nchi ya israel kwa ajili ya mapumziko na mafunzo jinsi gani wenzetu wanafanya maisha yao.
Nilikua na shauku ya...
Ndugu zangu wananzengo wenzangu wa Tanzania, na hususani wana JF tumepatwa na msiba. Mwana-Jamii Forum mwenzetu kennedy lufulondama hatukonaye tena duniani.
Amefariki jana majira ya saa 1:00...
serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imetangaza kuanza kuajiri walimu kuanzia mwishoni mwa mwezi huu,jumla ya walimu watakaoajiriwa ni elfu ishirini,
20
Who could have known Mugabe would ever have a daughter as cute as her considering his own look. Bona Mugabe 24-year-old daughter of Zimbabwe President Robert Mugabe clearly took the 10th spot...
Waandishi wa habari (sio wote please, nieleweke) wetu jiongeze weledi katika kazi yenu. Kuweni wabunifu na jisomee kuongeza maarifa. Acheni ushabiki wa mtu, siasa etc, maintain professionalism. Be...
Kiini hiki kikipatiwe ufumbuzi suala hilo litapungua kabisa.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Venerose Mtenga...