Mahakama imeahirishwa mpaka SAA moja jioni,muda huo ndio mahakama itapokea ripoti ya wataalamu wa IT upande wa NASA ambao walipewa kibali na mahakama kuuchunguza mfumo wa IEBC so jamani kwa anaependa kufuatilia mubashara naamini TV zote kubwa KBC,Citizen,KTN zitakuwa mubashara kwa ambao tunaking'amuzi cha dstv fuatilieni ni report muhimu kwa mustakabali wa uwazi ulioonyeshwa na serikali ya wakenya,tukutane SAA moja.