Aisee hawa EFM naona wanasonga tu

rmo

Member
Nov 20, 2016
97
101
Nipo Mwanza kikazi na nimejitahid kuzunguka naona EFM imeteka mji.
Wana miez isiyofika miwili tu lakini mmmmmmh,mawingu jiangalieni watoto wana kasi na hasa naona ni wabunifu sana.
Nawatabiria makubwa ingawa safari bado ni ndefu.
Kipindi cha michezo cha asubuhi kimekamata saaaaana
 
Hapo Mwanza wana promosheni ya kugawa mafuta ya bodaboda kwa wanaojibu maswali yao ,so ndo maana kila mtu masikio kodo,h halafu kipya kinyemi. Hao jembe fm walikuja kwa mkwala lakini wameshindwa kuvuka hata hapo Mwanza tu
 
pesa tatizo majjizzo bosi mtoto kaenda kumfurusha vibaya sana huyo jembe hapo...... kule mawingu ofisini hakukaliki
 
Wako vizuri kiukweli.. wajitahidi kuongeza masafa katik mikoa mingine ili izid kupanuka zaidi..
kipind chao cha sportheadquoter nakikubali sana but wapunguze singeli
 
Yah singeli zimezidi,hasa huku mikoani hawaipend singel kiviiile...ila nimependa ubunifu wao
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nipo Mwanza kikazi na nimejitahid kuzunguka naona EFM imeteka mji.
Wana miez isiyofika miwili tu lakini mmmmmmh,mawingu jiangalieni watoto wana kasi na hasa naona ni wabunifu sana.
Nawatabiria makubwa ingawa safari bado ni ndefu.
Kipindi cha michezo cha asubuhi kimekamata saaaaana
Ubunifu gani
 
Yah singeli zimezidi,hasa huku mikoani hawaipend singel kiviiile...ila nimependa ubunifu wao
Usijali mkuu ni kweli hawaipendi lakini hata dar mwanzo napo ilikuwa hawaipendi ila sasa ni mwendo wa kuipromot singel na hiyo ndio imeifikisha hapa ikachukua tuzo 4 mwaka huu radio bora Tanzania. Radio inayokuja kwa kasi zaidi. Radio yenye ubunifu zaidi. Mtangazaji bora zaidi. Usijali wataipenda tu singel na huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom